Jembajemba
JF-Expert Member
- Feb 3, 2007
- 260
- 32
Huku mashindano ya kandanda ya taifa bingwa barani Afrika yakiendelea kunoga, Samwel Eto'o wa Cameroon amevunja rekodi ya kufunga mabao mengi zaidi katika historia ya mashindano hayo.
Rekodi hiyo iliwekwa na Laurent Pokou wa Ivory Coast mnamo mwaka wa 1970.
Eto'o alifunga bao lake la 15 kupitia njia ya penalti mnamo dakika ya 27 dhidi ya Sudan.
Mechi ilikamilika kwa Cameroon kufunga mabao matatu kwa bila.