Etiiiiiiiiiiiii Uvaaji wa nguo usiku hupunguza kasi ya.............

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Nauliza tu jamani eti wakati tulalapo usiku tukivaa nguo za kulalia hupunguza kasi na hisia za lile tendo? Ni swali tu!
 
ngoja nikafukue daftari langu la baiologia, ila mh it is doubtful, leta source m2 mzima
 
Kuna night dress
Huongeza hisia
Maana zinafunguka vuuuupuuuuuu
Kisha unaona majambozi yote
shughuli inaanza
 
eti roya?
bas utanambioa km nivaege au niache.........!!
madig dig ao wanalalaga na jeans!!!!!!!:yield::yield::yield:
 
Boxa nazo hazina siri maana mama anweza kujua mzee anataka just by looking at it
 
eti roya?
bas utanambioa km nivaege au niache.........!!
madig dig ao wanalalaga na jeans!!!!!!!:yield::yield::yield:

Kipi bora sasa tuvue kabisaaaaaaaaaaa ama tuvae zile nyepesi? Hivi kuna za kiume nyepesi kweli?
 
manguo cku nzima mpka ucku? kwann mlale na nguo, chupi yenyewe cvai labda niwe kilimani, hata yeye hana ruhusa.
 
manguo cku nzima mpka ucku? kwann mlale na nguo, chupi yenyewe cvai labda niwe kilimani, hata yeye hana ruhusa.
:tape::tape::tape::tape::tape::yield::yield::yield::yield:
Haaaaaaaaaaaahaaaaaaaaahaaaa yan leo nimecheka jaman mweee!!!!!!!!!!
 
Kulala uchi noma mara nyumba inawaka moto ucku mzee unatoka nje kuomba msaada kama ulivyozaliwa du cpati picha patakuwaje hapo
 
manguo cku nzima mpka ucku? kwann mlale na nguo, chupi yenyewe cvai labda niwe kilimani, hata yeye hana ruhusa.

Eti mkwe nisivaage hizoeeeeeeee! maana mi hulala na kaptula. Mi suruali zikichoka huwa nakatia juu ya goti kidogo nafanya night dress
 
Kulala uchi noma mara nyumba inawaka moto ucku mzee unatoka nje kuomba msaada kama ulivyozaliwa du cpati picha patakuwaje hapo

Si watajua tu mzee kuwa ni madhara ya moto! hukupenda au vipi?
 
Kanga mbili Jamani, na kikoi!!!!.....................Ama mesahau tulikotokaaaaaa
 
bila nguo kabisa!!!, hapana, kuna night dress nzuri ambazo hata mwenzio akikuona anasisimka, sio uchi tuu mpaka hamu inapotea
 
Back
Top Bottom