Etii kweli watz wengi wanaangalia chama kwa imani yao ya dini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Etii kweli watz wengi wanaangalia chama kwa imani yao ya dini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by muhogomchungu, Jan 26, 2011.

 1. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nilimsikia Tambwe hiza ktk kipindi cha Tanzania inapoelekea kilichorushwa na Star tv akisema hapa tz watu wengi sasa wanaamini Chama chochote ambacho kitaonekana kina harufu ya dini fulani akaitaja islam, vyombo vya habari, na baadhi ya watu huona kama tishio na hupigwa vita . Licha ya kutaja chama aliimanisha Cuf na kwa upande mwengine chama ambacho huwa na harufu ya dini ya Christian huonekana ni chama cha kikombozi hapa alimaanisha Chadema. Mtizamo huu aliendelea kusema Mh Tambwe kwamba unaifanya baadhi ya watz kuona ni ubinafsi, unafiki na hatari kwa maisha.
  Jee Mh Tambwe anahoja za msingi au ndio yule yule mzee wa Propaganda?
   
 2. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  He needs to see a doctor!
  Achana na watu wenye fikra finyu kama yeye. Hawa ndio wale itakapokuja ile siku na saa CCM inaanguka nao ndio mwisho wa maisha yao. Siku hiyo inakuja
   
 3. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Tambwe ni Mh? Tangu lini? au ndiyo mwendelezo wa ukwezaji wa watu. mf. Dr. Jk, Dr. matunge, & so forth??
   
Loading...