UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,314
Kweli watu weusi yamkini hawathamini vya kwao!
Tazama haya na kujiuliza kama ingekuwa ni wazungu ndio wana tabia kama hizi za waafrika, ingekuwaje kwenye ulimwengu wa mapenzi? bila shaka wangekuwa ndio mfano bora wa mapenzi wa dhati!
1.Mzungu akimfumania mpenziwe au hata akisikia kuwa anatendwa, ndio mwisho wa mapenzi yao! Ila mwafrika akimfumania mpenziwe mara nyingi humsamehe na kuendelea na mahusiano yao!
2.Mzungu hawezi kuoa mke zaidi ya mmoja, vilevile mzungu wa kike hawezi kuolewa kwenye ndoa ya mitaala hata iweje, ila mwafrika hana tabu katika hili!
3.Mzungu hawezi kuwasaidia ndugu wa upande wa mwanamke/mwanaume kama watu weusi wafanyavyo, lakini hapa afrika ni aibu kwa mwanaume kutowathamini na kuwasaidia wakwe na ndugu wa upande wa mke!
Sasa naomba kuuliza, hivi mapenzi ya dhati ni yapi? mbona waafrika wana mapenzi ya dhati kuliko wazungu????
WAPI TATIZO LIPO KWA WAAFRIKA?