St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,629
- 4,504
Huyo simtaki mie nataka hendisamu boi
Sema tena mama,weusi wangu ni utukufu huu
utanizoea tu,usihofu.........
Huyo simtaki mie nataka hendisamu boi

vipi kaka unapenda madabwada kina Kongosho na Zinduna?
Ka ndo hivyo bac nami nahitaji kuajiriwa lol....
Kwa hyo kama ni ajira,mume ndo mwajiri.
Acheni hzo.
duh.. Sasa kila anayetaka kukupa ajira unamkosoa! Mbona unadharau ajira jamani!!
Usinambie.
Ila shost c nimeambiwa kuwa hakuna dawa ya mapenzi?
Ya wapi tena.
Povu la nini shem?
Na mishipa ya shingo imekudinda kisa ?
Mbona kuna vijielementi vya ukweli hapa ?
Mjini hakuna kinachokosekana. Shauri yako. Wenzio twala bata tu tena wa kuchoma
Mamii Madame B ruksa,tiririka tu.