Eti watoto wangu watakuwa wamefanya makosa?

Ndioo humjui kaanzia wapi tumehamia tu akaanza kukata ndizi nazinadondokea kwenye paa la nyumba yetu yaani unamkuta mtu hana haya anaamka saa moja watu wamelala anakata ndizi inadondokea kwenye paa tunaamka tunakuta ndizi imepasua sahani na vikombe huko nyuma imedondoka pah baada ya kuamsha watu.
Sio hiyo tu anaweza kutupa mawe juu ya bati tena makubwa kama gharika au anaacha majani ya migomba kwenye ukuta wetu hivi huyu mtu anataka nihame kwangu?
Ni kwangu aache maneno anaweza kukata bomba anasema ni mimi eti nilipe anataka maji aunanasingizia niwatoto wangu namuda huo wapo shule .
Huyu bibi anasifa sana sijui shida nini?
Hana hata shida basi tu .
Nimenyamaza sasa ngoja nikamwonyeshe .
Weka fensi Mkuu
 
jenga fensi kuepuka uswahili huo, hizo ndizi bei gani mpaka atishie amani ya watoto
Tumejenga ukuta mrefu tu ila ndizi zinaangukia kwetu akikata anataka tujenge mlima wa babeli.
Kwa maana ukuta upo ila yeye ndio hajaumalizia wake .
Tumuache tu leo kaja mwenyewe kuomba msamaha.
Alishatumiwa salamu hizo ooo .
Kajua mie nimedouble
 
Mzee vya Mjinga huliwa na mwelevu. Hao watoto Bora wangeimaliza kabisa na ukawafatia na Juiche ya kushushia ya baridi.

Huo mkwala usiusikie. Moyoni imba Yesu ningome Yangu na wakovu wangu je? Nimwogope Nan? Mungu alikujua kabla ya mimba ya Mama yako hivyo mchawi hanajopya Mungu yupo anatosha huyo ni mwanadamu tu hanalolote , usiogope auaye mwili ogopa auaye Mwili na roho.👏
 
Back
Top Bottom