Eti watoto wanafeli kisa kubeti? Ina maana wanakesha wanabet

super black

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
566
532
df5090fd5c87cb003cdfb8c7659202ab.jpg
HII NCHI SIAMIIIIIII VITUKO BALAA
 
hiyo ni mojawapo ya sababu.....kuna vitu kama kubeti, pool table, sinema za mitaani, visingeli, games nakadharika.......kwa mtoto ambaye ana nia ya kusoma kwa sehemu kama Dar es Salaam in access ya material mengi, walimu DSM wapo, Tuition zipo libary zipo ....vitabu vipo .....kwa shule sita za DSM kushika mkia lazima kuna tatizo....ungeniambia sehemu ambazo zipo vijijini kushika mkia ndio unaweza ukamtafuta mchawi serikalini....ila kwa hili la DSM lazima tukubali kuwa wazazi wanawajibu wa kuwafuatilia watoto wao.
 
matamasha ya(redio pendwa) cloud fm ndio chanzo! mara xkull bash,mara fiesta,mara soka bonanza,mara beach party,shilawadu family day,mara bibi bomba nk nk
 
Back
Top Bottom