Eti watanzania ni wavivu wa kazi !! mbona..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti watanzania ni wavivu wa kazi !! mbona.....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Columbus, Nov 13, 2011.

 1. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Katika utafiti niliofanya hivi karibuni hapa Bongo na nje ya Bongo nimepata ushahidi wa kuaminika kuwa watanzania sio wavivu, huu umekuwa uzushi wa muda mrefu miongoni mwa wachache. Je ! mnasemaje juu ya hili ! nawasilisha.
   
 2. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,131
  Likes Received: 3,320
  Trophy Points: 280
  Watanzania wavivu.
   
 3. v

  valid statement JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  huo utafiti umeufanyia wapi? Eneo gani? Umetumia njia gani kupata takwimu zako?
  Tueleze tukuelewe tukubali utafiti wako.
   
 4. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Utafiti bila data?
   
 5. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Ni wavivu wa kufikiri. eg.CCM
   
 6. B

  Bundajo JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 244
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni wavivu wa kufanya kazi za kuleta hela lakini si wavivu wa maandamano.
   
 7. B

  Bundajo JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 244
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Au japo hata picha basi.
   
 8. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  watanzania wanaodaiwa kuwa wasomi ndio wavivu. si unaona machinga na wasukuma mikokoteni, bila kuwasahau zawadi yetu toka kwa Mungu yaani wakulima, wanavyovuja jasho 24 hrs?
   
 9. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ukikaa nchi za wazungu, si vigumu kugundua kuwa sisi waafrika kwa ujumla ni wavivu mno!!... halafu tunatumiwa kwa viahadi vya kijinga. Ni kawaida kwa watu huku ughaibuni kufanya kazi kwa masa 12 mpaka 16 kwa siku, weekends pia siyo guaranteed kwa watu wengi tu.
  Halafu watanzania ni legelege sana, zamani nilidhani wazungu ni legelege ila si kweli.
  Waafrika wengi tu wanafiki na siyo wacha mungu kama wazungu.
  Watanzania wengi pia tuna tabia za kishoga, kama vile kucheza mziki wanaume wawili, kushikana mikono wanaume, kukata mauno kama kwenye kiduku.... haya mambo huku yanaonekana ni ya kishoga mno!.. .... pia mwanamuziki wa kiume kuimba wimbo unaosema mume wangu,... hiyo huku wanaona ni tamthilia ya kishoga.
  Ila huwa tunajiona ngangali, wenzetu wanatuona kama mlenda flani hivi. Samahani kama nitawaudhi, ila hayo nimeyasikia kutoka kwa wenzetu.
   
 10. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  weka ushahidi wako tuuone. Nalog off
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Labda ungetuambia tafakari yako ila utafiti umetudanganya
   
 12. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #12
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ofisini kwetu tulikuwa na project ya kuweka mitambo mipya na kuitest viwango na tukaamu kutangaza tender globally, cha ajabu kampuni nyingi zili-apply za hapa Bongo na zingine za nje ya nchi. Baada ya kupitia sifa hatimaye tuliamua kuichukua kampuni ya hapa Bongo kama majaribio ifanye ile kazi ambayo ingechukua takribani miezi sita. Cha kushangaza hii kampuni ya Bongo ilifanya kazi nzuri na kwa muda uliopangwa bila kuwa na usimamizi wa maana. Katika kufuatilia kwangu niligundua watanzani wana uwezo mkubwa wa kufanya kazi ili mradi waamini kuwa kitakachopatikana watafaidika tofauti na hivvyo wabongo watakuwa na tabia ya kusukumwa sukumwa.
  Naamin hata wakulima wa Tanzania pamoja na uwezo mdogo walio nao wangeruhusiwa kujilimia mazao yao na kuyauza wanavyotaka wengi wa vijana wetu wangekaa mashambani na kupunguza huu msongamano uliopo mijini na badala yake wamekuwa wakichakachuliwa nguvu zao na wajanja wachache walio kwenye mamlaka.
   
 13. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #13
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,631
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Omar Nundu MB, ni raia wa Rhodesia!
   
 14. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #14
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ndiyo ni wavivu!! Moja ya mambo yaliyochangia ni usemi wa Nyerere kuwa "usiwe mnyapara". Usemi huu uliuwa dhana ya uongozi mahali pa kazi, kila mmoja akawa na, immeendelea mpaka sasa, klia mmoja anajituma mwenyewe bila kujali uongozi unaelekezaje. Tunataka tupate pesa kufanya kazi, kama wafanyavyo Wagogo. Huwezi ukalinganisha waTZ na wakenya ktk bidii ya kazi na kusoma!!! I am sorry to say so!!!!
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Ulifika na Zanzibar?
   
 16. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #16
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Labda nijaribu kuweka sawa huu uzi" Kufanya kazi na kufurahia maslahi huenda pamoja" ikiwa kufanya kazi hakulipi naamini utaacha au utazembea kuendelea kufanya kazi hiyo. Kwa mtazamo huo ndio nikasema wenye mamlaka husimamia masoko na kutoa maslahi duni hawatendi haki na ndio maana watanzania wengi wanaonekana wavivu.Mfano ni kilimo kwanza, kijana alime pengine bila msaada wa pembejeo halafu akifanikiwa kuvuna unampangia masharti na bei ya kuuza mazao yake kweli hii ni sawa, na ndio maana wanahamia mjini kutwa kuzurura tu.
   
Loading...