Eti Wapiga dili wamerudi, Kwani walienda wapi? Au walihamia CHADEMA kwa dharura?!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,779
141,667
Nimesoma nyuzi na comment nyingi humu jukwaani zinazodai wapiga dili wamerudi.

Ndio nauliza hao wapiga dili walitoka CCM na kujiunga na upinzani au walikwenda wapi?

Hao mnaowaita wapiga dili ndio kwenye uchaguzi mkuu wa wabunge wamepita bila kupingwa.

Ndio hao wanaoongoza kamati nyeti za bunge.

Sasa wamerudi kutoka wapi?
 
Kutesa kwa zamu, push gang zama zao zmekwisha. Pwani gang we are riding the game.
 
Wapiga dili walikuwa likizo lakini yule somo yangu kipara yeye ndio anazingua mchana kweupe mbuzi anatafuna majani!
 
Nimesoma nyuzi na comment nyingi humu jukwaani zinazodai wapiga dili wamerudi.

Ndio nauliza hao wapiga dili walitoka CCM na kujiunga na upinzani au walikwenda wapi?

Hao mnaowaita wapiga dili ndio kwenye uchaguzi mkuu wa wabunge wamepita bila kupingwa.

Ndio hao wanaoongoza kamati nyeti za bunge.

Sasa wamerudi kutoka wapi?
JohntheMnafiki
 
Walikua chato wamepumzika ndio wamerudi
 
Nimesoma nyuzi na comment nyingi humu jukwaani zinazodai wapiga dili wamerudi.

Ndio nauliza hao wapiga dili walitoka CCM na kujiunga na upinzani au walikwenda wapi?

Hao mnaowaita wapiga dili ndio kwenye uchaguzi mkuu wa wabunge wamepita bila kupingwa.
Ndio hao wanaoongoza kamati nyeti za bunge.

Sasa wamerudi kutoka wapi?
Vipi kuhusu pweza wakijani wasiojulikana, naona wanachokonolewa hata ijulikane walipo kutoka kusiko julikana.
 
Back
Top Bottom