Eti Wanataka Tumpongeze Rais John Pombe Magufuli... Sasa Tumpongeze kwa Lipi Hapa?!

Aisee tumeliwa na Rais wa Dar mchana kweupeee

'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
Rais wa Dar aliyeijulia Dar ukubwani lakini leo hii haachi kutamba kwa jeuri kwamba atawahamisha watu kwenye mkoa wake!!
 
Hii michezo mbona watu tulishaijuaga kitambo sana. Kwahyo sisi tunaangalia tu, mtoto wake mwenyew alimuachia uhuru wa kufanya lolote sasa kaona anakaliwa kichwani km siyo kunyewa ndio kashtuka. Anaetoa pongezi ana matatizo ya ubongo
 
Ahsante...

Kinyago akichonge mwenyewe...

Akifungie motor mwenyewe

Akipatie pistol za kweli kweli badala ya pistol midoli mwenyewe

Leo hii kinyago kimefyatuka huku kikinyesha risasi na kujeruhi watu, halafu watokee wengine watake tumpongeze Mchonga Kinyago eti kwa sababu tu hatimae Mchonga Kinyago ameweza kukidaka kinyago chake kabla hakijamripua za utosi!!!!
 
My heart is aching severely.....mchezo wa fraud huu unabatizwa jina la politika poor my country Tanzania. It's very obvious though that there is a clear line connecting the two........
 
Ni uongo kusema hakuna cha kupongeza awamu hii.
Ila ni uongo zaidi kusema kwa ahadi zake za 2015 amefanikiwa sana
 
Mtoa mada una kichwa cha panzi na unatakiwa kukumbushwa kubakiza akiba ya maneno, uchafu unaorusha kwa Makonda wewe mwenyewe utakuja kuusafisha. Kumbuka ya Lowasa.

Siku Makonda akihamia chadema atapata mapokezi makubwa
na kusafishwa kwa kila aina ya Omo na kubatizwa mleta mabadiliko wa Ufipa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda sabuni ya kumsafisha hapa Tanzania haipo mkuu,labda tuagize toka ughaibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni”?!!

Hapa natoa haki! Angalau kwa hili nakupongeza Mheshimiwa Rais! Nampongeza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kukiri hadharani kwamba, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mheshimiwa Paul Makonda ni FRAUD!
Kama ni KUNYONGWA huyu Mnyingaji ANYONGWE TU! Atapongezwa AKITEKELEZA alichosema kuhusu UTAWALA wa Sheria! HUYU DAB: mosi, alipe kodi stahiki kisha achukue chake, pili ASHTAKIWE kwa kukwepa KODI na kusema UONGO na TATU, afutwe kazi kwani ameiabisha Taasis yake ya Uteuzi! Kinyume na hapa HAPONGEZWI Ntu hapa! Kukiri hadharani HAITOSHI!
 
Kuna kitu kimoja kinazidi kuwa dhahiri. Prince Paul Makonda keshaota mapembe, kiasi kwamba hata Mfalme Jiwe aliemlea na kumkuza sasa nae anamuogopa tena saana. Ile sauti kali ilojaa mamlaka ya Mfalme Jiwe, ilotumbua Mama Kilango, Ma DED kwa kukosea taarifa tu, au Waziri Kitwanga kwa tuchupa tuchache tu...., haipo tena. Je ataweza tena kukaza sauti kwa mwnginewe bila kuangusha macho? BIG NO. Ufalme wake umeshakuwa sana, sasa wajifitini wenyewe (Daniel).
Kuna sinema ya ma cowboy niliiona zamani iliitwa "The death of a gun fighter". Iliishia pale star (wengine humuita steling/staring) Mbabe alokuwa anatisha na kuogopwa na kila mtu katika kijiji kimoja cha Texas, alipouwawa. Nimeanza kuziona dalili za mwanzo wa mwisho wake, kama ngoma ilowahi kulia sana. Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahenga walisema kuwa "kuchamba kwingi, utashika mavi" ila kiuhalisia kuchamba ni kushika mavi (wether umeanza kutumia tissue or not)
So in reality walichotaka kumaanisha ni kuwa "kuchamba kwingi utajichoma dole".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada una kichwa cha panzi na unatakiwa kukumbushwa kubakiza akiba ya maneno, uchafu unaorusha kwa Makonda wewe mwenyewe utakuja kuusafisha. Kumbuka ya Lowasa.

Siku Makonda akihamia chadema atapata mapokezi makubwa
na kusafishwa kwa kila aina ya Omo na kubatizwa mleta mabadiliko wa Ufipa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo CCM ndiyo chaka la mafisadi???Mbona rais wenu anajigamba kupambana na mafisadi

Povu la nn sasa, umeambiwa amsifie Raisi kwa lipi?? Kuna sehemu kampaka matope makonda hapo we kweli unakichwa cha mbuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo CCM ndiyo chaka la mafisadi???Mbona rais wenu anajigamba kupambana na mafisadi

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kuelimilishwa hapa. Ni ipi tafsiri ya ccm kuhusu ufisadi?
Hivi kiongozi mteuaji ni mfanyakazi gani wa umma aliyefanya kazi kwa miaka miwili na nusu au hata mitatu akawa na ukwasi wa mabilioni ya pesa huku mshahara wake haufiki shilingi milioni tano kwa mwezi?
Hivi ile tume ya maadili ya viongozi wa umma ilihamia china au kwasababu watendaji wake sana ndio maana utendaji wao ni sawa na hakuna! Hebu hawa majaji wastaafu waache kuteuliwa kwenye nafasi nyeti kama hizi na wapumzike kweli! Na mamlaka za uteuzi ziache double standard kwenye kutimiza wajibu wa kisheria! Nina uhakika kesho halitazama jua kabla ya kusikia lolote kumhusu mkubwa mkwepa kodi!
 
Ale matapishi yake mwenyewe kwani wakati anakula na Makonda sie alitualika ?
Sasa kavimbiwa anataka tutapike naye ?

Asifiwe kwa lipi ?

Asalalee!
 
Back
Top Bottom