Eti wanaovaa suruali chini ya makalio ni mashoga?

cj21125

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,701
1,739
Nje ya Tanzania mashoga hujitambulisha aidha kwa kuvaa suruali chini ya makalio ama kuvaa hereni au vyote kwa pamoja. Je; Kwa Tanzania wavulana wanaovaa suruali chini ya makalio na hereni nao ni mashoga?
 
Hii fixation ya ushoga siku hizi inatoka wapi?

Manake karibu kila kitu ni ushoga na hata ukitofautiana kauli na mtu tusi la kwanza wewe ni shoga!

Y'all must have ushoga on y'all brains!
 
Kawaangalie hawa jamaa kama wanavaa suruali chini ya makalio

-Michael Scofield
-Tim Cook
-Tom Ford
-Elton John

Ukikuta wanavaa hivyo basi utakuwa umepata jibu mkuu
 
Unafikiria kwanini watakuwa wanataka makalio yao yaonekana na wanaume wenzao kama si kwamba wanatangaza biashara. Unauliza makofi polisi?
 
Hivi Wanaume wanaokula chips yai ni mashoga ??
 
Kawaangalie hawa jamaa kama wanavaa suruali chini ya makalio

-Michael Scofield
-Tim Cook
-Tom Ford
-Elton John

Ukikuta wanavaa hivyo basi utakuwa umepata jibu mkuu
Hawa hawana haja ya kuvaa hivyo kwa sababu tayari washakuwa mastaa wa mashoga na wanajulikana kila mahali. Nazungumzia kwa wale wasiojulikana kabisa. Watajulikanaje kuwa wao ni mashoga wasipotangaza biashara yao kwa kuvaa suruali chini ya makalio ?
 
Harsh generalization!
 
Hivi kwa nini mtu avae "kata k"?Joto,nguo inapwaya,inabana biashara au?Majibu yakitoka hatuta "generalize" wote mkuu.
 
Si kweli...wengine viuno vipo chini sana
 
Attachments

  • 1417475984390.jpg
    1417475984390.jpg
    60.8 KB · Views: 243
Biashara ni matangazo;na hao wanafanya biashara ya ushoga !
Uvaaji unamtambulisha mtu ni nani ?
Tazama uvaaji changudoa.
 
Ni kweli kabisa.hivi mwanaume kamili utavaaje suruali chini ya makalio,umevaa hereni,umesuka nywele na umejichubua tukueleweje?
 
Mashoga utawajua kwa matendo yao unakuta dume kuanzia asubuhi anakazi ya kuzungumzia mabaya ya wanawake kila siku yeye ni kucompete na wanawake na kuwaonea wivu hizo ndio dalili za ushoga. Kwa mavazi sijui kwa kweli.
 
Hawa hawana haja ya kuvaa hivyo kwa sababu tayari washakuwa mastaa wa mashoga na wanajulikana kila mahali. Nazungumzia kwa wale wasiojulikana kabisa. Watajulikanaje kuwa wao ni mashoga wasipotangaza biashara yao kwa kuvaa suruali chini ya makalio ?

utawaona kwa kulegeza sauti kama demu vile.
Yaan analegea kwa kila kitu hata viungo hata namna ya kuongea zile ishara za vidole
 
Mashoga utawajua kwa matendo yao unakuta dume kuanzia asubuhi anakazi ya kuzungumzia mabaya ya wanawake kila siku yeye ni kucompete na wanawake na kuwaonea wivu hizo ndio dalili za ushoga. Kwa mavazi sijui kwa kweli.

inaweza kuwa kweli japo commet yako ipo kimashambulio flan
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom