Eti wana jf ni sababu gani kubwa hasa ambayo hupelekea wapenzi wengi kutengena???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti wana jf ni sababu gani kubwa hasa ambayo hupelekea wapenzi wengi kutengena????

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by poet, Jan 4, 2011.

 1. p

  poet Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ningependa kufahamu ni sababu gani ambayo inaongoza kwa couple nyingi kuvunjika? kwani niliyoyashuhudia yanaweza kuwa ya kufungia mwaka.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa siuseme uliyoshuhudia????
  Sababu zipo nyingi tu!!!
   
 3. M

  Miss Pirate JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sema unachokataka kukisema labda ndiyo hicho babuu
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  UVUMILIVU.......... Sio kwamba babu zetu walikuwa Malaika bali Bibi Zetu Walikuwa Wavumilivu.........
   
 5. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Alio shuhudia eti ni mengi! Huku anataka tumtajie hayo mambo!
  Sijamuelewa kabisa!
   
 6. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naunga MKONO Hoja kwa asilimia 1000!!!

   
 7. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Sababu kubwa ni kukosa UAMINIFU baina ya wana ndoa
   
 8. p

  poet Member

  #8
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Najua zipo nyingi na ndo nilizoshuhudia lakini cjajua ni ipi inayoongoza? dats my question
   
 9. p

  poet Member

  #9
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nlotaka mnitajie sio nloshuhudia ila ni sababu ipi inayoongoza katika kufanya mahusiano yavunjike?
   
 10. p

  poet Member

  #10
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nami najua zipo nyingi ndo mana nikauliza ni ipi kubwa hasa kati ya hizo nyingi?
   
 11. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Wapenzi wengi kufurahiana badala ya kupendana
  Uvumilivu hakuna
  Utandawazi pia
   
 12. Homo Habilis

  Homo Habilis Senior Member

  #12
  Jan 4, 2011
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 189
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  pia wabibi zetu walikuwa na heshima babu akiongea wanatulia siku hizi bana hakuna iyo kitu we unaongea na manzi naye anaongea hajulikani nani baba nani mama vurugu tupu.
   
 13. markach

  markach Senior Member

  #13
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 122
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Siku hizi hakuna uvumilivu kwa wana ndoa ni zero.
   
 14. tracy

  tracy JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Uvumilivu unaeza kuwa sababu,lakini kuna watu hawavumiliki,.a guy can get a down to earth gal,who supports him in everything,anaempenda,lakini akacheat,na uhusiano ukavunjika,.i blv kila binadam ana weaknesses lakini we try work on them for the sake of those around us,.sam guys might say its nature lakini je at your mumz place can u do wateva you r doing at ur matrimonial place?.and for the ladies,i guess mst have gven up on love,tryn to live just for them and forgetn their roles as women!.ukimix those thngz n many mo,vitu vinakua vululu kabysa!
   
 15. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #15
  Jan 4, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  wwanaume kutoka nje
  wanawake kushndwa kuvumilia uozo wa wanaume
   
 16. pauline

  pauline JF-Expert Member

  #16
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  lack of rensponsibility kwa wanaume-unakuta mna watoto majukumu yameongezeka bado anakuwa selfish anataka umtreat kama mfalme!,akiona hufanyi hivyo anatafuta nyumba ndogo huku ni kutowajibika-mwanaume yeyote rensponsible ataipenda na kuilinda nyumba yake!
   
 17. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #17
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Ni kutokuwa na uaminifu kati ya wapendanao
   
 18. DJ BABU

  DJ BABU JF-Expert Member

  #18
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 210
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndani wote mmevaa tisheti na jinzi we unafikiri itakuwaje
   
Loading...