Eti Wakurya Wana Wivu kwa Hawara au GirlFriend Wake Kuliko Mke Wake Wa Ndoa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti Wakurya Wana Wivu kwa Hawara au GirlFriend Wake Kuliko Mke Wake Wa Ndoa?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by DSN, Aug 8, 2011.

 1. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Wana JF naomba kujua eti ni kweli kuwa mkurya yuko radhi kukusamehe akikuta unamahusiano yasiyo halali kati yako wewe na mkewe lakini anauwezo wa kukiujeruhi vibaya kama akisikia unamahuisiano na hawara [Mpenzi] yake.Naomba kwa wanojua kuhusu hili watujuze.Manake imesimama kwa hawara [Girl Friend] kuwa mtamu kuliko Mke [Wife].

  Kwa kuongeze kumbe Wakurya wako juu kama kama Bill Clinton, Newt Gingrich, Rudy Giuliani, John Mc Cain na hata Schwarzenegger kwa ziada ya kuwa na mahusiano ya nyumba ndogo [for extramarital affairs].
   
 2. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  <br />
  <br />
  Nani asiyefahamu kwamba ma infii ni watamu kuliko wa nyumbani! Sasa ili kupata uhakika kama wakurya hatuna uchungu na wake zetu we jaribu kutoka na mmoja halafu hakikisha mme wake anajua kama utaweza mfuate nyumbani mmewe akiwepo ili usiendelee kudanganywa. Utakachokumbana nacho hata kama hutakuja hapa kutujulisha,huko huko uliko utaandika hence poroved!
   
 3. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hoja uchungu mkubwa huko wapi kwa mke au hawara?
   
 4. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  sikujua kuwa tarehe 08/08 ni siku ya vituko vya wakurya
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  mara ya mwisho kuhudhuria mazishi msiban ni linii??angalia mkuu tusipitishwe mapanga ya kwenye net tukajuta
   
 6. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mkurya hapigani ovyo ukipigana na mkurya juwa wewe uvumiliki.Ndio uzuri wa jamii zinazotumia mfumo wa viongozi wa jadi [Clan Syetem].Manake Mmasai na Mkurya ukiona umegombana na watu hawa jua una matatizo makubwa ni kuwa umemwingilia kwenye anga zake [Interest].Vinginevyo wakurya hawana tofauti na masai.Ugomvi wa wakurya wao kwa wao tunaoushudia ni ule wa kikoo [familia za kikabila] nje ya hapo wakurya sio watu wafujo hata kidogo.Ila kamwe usimuonyeshe dharau hii ipo wazi hata kwa masai.Na hata dola inajua tabia za makabila haya mawili.
   
 7. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Pdidy bana....
   
 8. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Nisome taratibu mkuu utanielwa, haraka ya nini?

  Mbona nimeanza kujibu hoja yako kuanzia neno la kwanza? au wewe unasoma kuanzia kulia?
   
 9. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Ndugu yangu, nadhani na wewe ni kati ya wale wanaofikiri mkoa wa mara kuna kabila moja tu yaani wakurya. Kwa kweli mkoa wa mara una zaidi ya makabila 40. Hiyo tabia unayozungumzia ya mtu kuwa na uchungu zaidi kwa hawara kuliko mke ni tabia ya WAZANAKI, na siyo wakurya. Kwa mzanaki ukicheza na hawara yake (Kitungo) yuko radhi kukumaliza kabisa lakini kwa wife wake unaweza kujichotea tu upendavyo!!
   
 10. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Wazanaki ndio wale wanopatikana eneo la BUTIAMA ama ?tunaomba wanotoka watusaidie ili tujue ni raha kujua tamaduni zetu zingine siuanjua maingiliano yetu ya kibongo.Manake masai wanazao inapofika swala la mahusiano kati ya marafiki na wake zao .Mfano ukiwai ukaingia nyumbani kwa jamaa yako ambae kwa rika mko sawa unaruhusiwa kuchomeka mkuki pale nje mlangoni ukachoma ndani ukakomba mzigo wako ukimakiliza unasepa.Yeye akija akakuta mkuki hapo nje kirahini sana anasepa na yeye kimpango wake.

  Fanya hivyo kwa mtu ambae wote mko lika moja sio vinginevyo nasikia, naam hiyo ndio Tanzania.
   
 11. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,721
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Tata sagurughati,mura mbuya,habari tata!njoo tucheze ritungu mura mangana!
   
 12. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  DSN, labda tu nikufahamishe kwamba wazanaki wanaishi katika vijiji vikuu vifuatavyo:- Butiama, Busegwe, Butuguri, Buhemba na Bumangi. Na wanapatikana pia katika vijiji vingine vidogo vidogo kama Kiabakari, Buruma, Mwanza Buriga, Kizarwe nk. Ni kweli kwamba suala la uhawara kwa ndugu zetu wazanaki ni mila ya tangu mababu na mababu. Katika ndoa lazima mwanaume awe na hawara na pia mwanamke lazima awe na hawara. Kwa wazanaki mtu asipokuwa na hawara anaonekana kama ana mapungufu fulani.

  Mwanaume wa Kizanaki anakuwa na hawara (kitungo) ambaye ni mke wa mtu. Kwa hiyo kwa kuwa akili yote anahamishia kwa kitungo, mwanamke naye anatafuta kitungo ambacho mara nyingi kitakuwa ni mme wa mtu ili naye aweze kupata mtu wa kumjali. Kwa hiyo inakuwa ni kila mtu na kitungo chake. Kuwa na Kitungo kwa wazanaki siyo suala linalofanywa kwa siri hata kama ni mke wa mtu. Inakuwa inajulikana wazi kabisa kwamba baba fulani kitungo chake ni mke wa fulani. Kitungo cha kike kinapata heshima na protection kubwa sana kuliko hata kutoka kwa mme wa ndoa. Mke wa ndoa naye anakuwa anafahamu kwamba mama fulani ni kitungo cha mme wake, na hata akitembelea hapo kwa mwanaume ambaye ni hawara yake, mke wa ndoa anatakiwa kutoa heshima na ukarimu wa kutosha kwa kitungo cha mme wake.

  Tabia hii ya wanaume na wanawake wa kizanaki imewafanya vijana wengi wa kisasa na wasiopenda uchafu huu kuamua kuoa makabila mengine. Mfano wa waliofanya hivyo ni muasisi wa taifa ambaye yeye aliamua kwenda kuoa Busimbiti na akaacha kabila lake la wazanaki lenye kuendekeza tabia ya vitungo. Naomba nisiongee mengi wazanaki wakanifuatilia huku ughaibuni na kunipiga mshale, maana kwa mishale ni wataalamu sana. Ila kama kuna mzanaki anayeona nimeeleza sivyo, naomba anisahihishe
   
 13. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #13
  Aug 9, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Thats nice Jsaudi umetuelemisha sana kujua japo kahistoria kamoja ya makabila yetu katika mapenzi.Its very interesting .Kwa kuwa kutoka hapo unapata kujua ni kwani au sababu zip uwe na wivu kama wazanaki wameza hilo kumbe wivu unaweza kuwa controlled pasipo shaka yoyote ile na hovyo wivu ni matakwa ya mtu binafsi jamii kama jamii yaweza kuwa ikaona haina maana kuwa na wivu.Wazungu ndio wanakokwenda sisi tunalazimisha kutoka wanaokokuja.
   
 14. t

  tripojo Member

  #14
  Aug 10, 2011
  Joined: Jan 4, 2008
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh kweli tembea uone....na huu mtandao unatuwezesha kufahamu tamaduni za wengine bila hata kufika maeneo husika; mwe!!
   
 15. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Hiyo ya Wazanaki ni kali kuliko
   
Loading...