Eti wake zetu ma secretary wanaliwaga na maboss wao??

Hili tatizo lipo na sio ma-secretary peke bali kina dada wote wa ngazi za chini maofisini wanapata taabu sana kutoka kwa mabosi wao na kwakua kazi ni za shida wengine huangukia mitego hii.Kuna upande mwingine pia ambao haujaongelewa hapa,kuna ofisi ya jirani imepata bosi mpya sasa ma-secretary pale walizoea kujigonga kwa mabosi basi wakawa wanafanya kila jinsi mavazi,vituko siku moja bosi akawaita wote wawili akawaambia sikilizeni mimi nina mke na watoto na sijui hapa ilikuwaje kabla lakini mimi hata mkija uchi sitaki,nahitaji ufanisi na kujituma.Pia nawahakikishia mwenye shida ya kweli natamsaidia kama wafanyakazi wote,wadada wakawa wanaangalia chini.Kwahiyo msiwalaumu mabosi tu.
 
Mnajua lazima tubadilike sasa ukitegemea haki sawa wanayoipigania watu wa tgnp. Kiukweli masekretari wanaliwa sana na mabosi wao. Hata mie kama sec wangu ni makini itahitaji nguvu ya ziada kumuepuka. Kuhakikisha hilo sitahitaji sec bomba. Pia pwent yangu kuwe na masec wanaume kwa mabosi wanaume kinyume chake
 
Hili tatizo lipo na sio ma-secretary peke bali kina dada wote wa ngazi za chini maofisini wanapata taabu sana kutoka kwa mabosi wao na kwakua kazi ni za shida wengine huangukia mitego hii.Kuna upande mwingine pia ambao haujaongelewa hapa,kuna ofisi ya jirani imepata bosi mpya sasa ma-secretary pale walizoea kujigonga kwa mabosi basi wakawa wanafanya kila jinsi mavazi,vituko siku moja bosi akawaita wote wawili akawaambia sikilizeni mimi nina mke na watoto na sijui hapa ilikuwaje kabla lakini mimi hata mkija uchi sitaki,nahitaji ufanisi na kujituma.Pia nawahakikishia mwenye shida ya kweli natamsaidia kama wafanyakazi wote,wadada wakawa wanaangalia chini.Kwahiyo msiwalaumu mabosi tu.
well said DDD
unajua wadada tunajirahisi sana yani, kama unaingia kwa bosssketi uliovaa mapaja yote nje au blauzi maziwa yote nje unategemea nini? hawa waliojigonga wakatoswa washuru huyu boss ana Mapenzi kwa mkewe.
 
Ukioa secretary lazima presha itapanda, wengi wao kutokana na woga na ushamba hawana kauli kwa mabosi wao kitu kinachowafanya wakubaliane kuvunja amri ile ya sita. Kitu kinachowaponza ni safari na upendeleo wa posho na shortcourse, akikataa atazisikia bombani. ila sio mabosi wote ndio walengwa, hata madereva ni hatari zaidi kushinda hao mabosi, yani usiombe ni hatariiiiiiiii!!
 
Suluhisho la kudumu: kama mkeo ni secretary atafute/ mtafutie kazi nyingine kabla ya kumuoa - kama shule ndogo aache kazi akafanye shule hata Open University ili aondokane na hiyo kazi ya ajabu! Nenda kwenye vyuo wanavyosomea Tabora na Magogoni utaona jinsi walivyotayari kugawa hizo samosa zao!!!

Hivi boss akisafiri anaenda na secretary wake? Sasa nani ataangalia ofisi yake wakati yeye hayupo? Hivi ni secretary gani tunamuongelea hapa? Personal Assistant, Katibu Muhtasi au Receptionist? Lakini yote haya ni ovyo!!!
 
mi mwenyewe nimeachwa kwa kunogewa na mavituzzzzz ya sekretari wangu. wanasheria tuko juu sana kwa kuwala, na wanajua customer care tofauti na wake zetu. Teh, nisameheni wadau, mi tatizo langu nasemaga ukweli,., teh!! but vaeni zana kabla hamjapiga, ile kitu inaua balaa.,
 
i dont think soo..
Because kama Secretary ni aged na bos ni young what will hapen hapo.. au kama secretary uso wa mbuzi what wil hapen hapo..\
sikuhizi mamen nao ni masecretary na hapo mtasemaje?
fikiria chukua hatua kwang kweng
 
Case yako ni 95% kwa 5% yaani Boss akiwa young mara nyingi atafanya namana apate secretary anayematch naye .........na masecreatry wanaume niliwasikia zamani hivi sasa ndo wachache zaid!
 
kweli masecretary wengi vijana wanamegwa na mabosi wao nadhani vyuo wanavyopitia uwa wanajiandaa kabisa kisaikolojia kuwatega mabosi, kuna kampuni nilifanya kazi zamani kaliajiriwa kasecretary fresh from Magogoni kalikuwa kazuri sana, kuna jamaa yangu akakawahi akawa anatafuna baadae akakolea mpaka siku 3 kati ya 7 za wiki kakawa kanalala kwa jamaa zilibaki kanarudi kwao

kumbe kale kasecretari kalikuwa kanawanga mabosi kama hakana akili nzuri mtu ukikapa hela tu kanakupa kitumbua baadae jamaa alikuja kushtuka akawa anaomba washkaji wamshauri kama amwache au aendelee nae baada ya kufuma msg kutoka kwa bosi mmoja aliyekuwa anapiga baada ya kuomba ushauri watu walimpa mkanda mzima kuwa kuna watu kama 10 hivi ofisini washapitia
Jamaa alitoka mbio kwenda Angaza
 
na kama bosi wako ameignia ni kijana we ni mzee jiandae kwa redandas usijeshangaa src nini wenzio wako kikazi zaidi
 
Mshangao wangu:

Kwa nini mada za uzinzi huelemea kwa wanawake kuonekana ni wakosaji, siyo waaminifu ali hali anaye-initiate ni mwanaume.

Maoni yangu:

Wewe mwanaume boss na wengine (mume wa mtu, baba fulani) ukiwa ofisini behave yourself, usiwalaghai wanawake ukitumia weakness ya kipato chao kidogo.

kama leo hii una zini na mke/mume wa mtu, jiulize ni wangapi wamepita hapo? Je ni salama??? upo tayari kufa uache vitoto vyako vingihangaika kisa cha raha ya dk.5??? uboss wako, elimu yako, ndugu na jamaa zako wote wakukose kisa msamalia kakuvulia??? POLENI.
 
Back
Top Bottom