Hivi hii kozi ya urban and regional planning ndio ikoje?

Wakuu wazima,samaan nilikuw nataka kuuliza kuhusu hii koz tajwa hapo juu je inahusiana na nini? Na je mtu anaweza kujiajiri kupitia hii koz kwa kufanya vitu kama vipi?
 
Ni Diploma inayotolea na Vyuo Vya Ufundi vinavyopokea wanafunzi kutoka shule za Ufundi kama Vile Mikunguni Technical Secondary Schoo.
 
Mkuu ila naskia na hii koz uwa wanafundishwa issue za raman kama kudesign nyumba au imekaaje hapo
Sio ku design nyumba, ni ku designe mipango miji. Yaani nyumba zikaeje, barabara za mitaa, huduma za kijamii Eg. Shule, Masoko, Hospitali, Michezo. Nyumba za ibada, Stand na kila kitu hadi miji ikae mkao mzuri
 
Kwa
Kuna j

Kuna jamaa nilimcheki amesema kuw watu wa urban wanaruhusiw kudesign nyumba ila isiwe n gorofa tu,sasa cijui amenidanganya
kujionge hipo hiv mm nadhan hata hawa wa urban wanatumia vitu kama archcad au autocad kudesign michoro,sasa hauon kama mtu wa urban anauwezo pia wakudesign nyumba
 
Back
Top Bottom