Eti wachina wanaingia nchini na kuchimba madini bila serikali kujua?

Mtambo+wa+madini.jpg


Huwa nashangaa mantiki ya kuwa na serikali iwapo wachina na wageni wengine wanaingia na kujichimbia madini yetu kiholela huku wawekezaji wakichukulia watakavyo. Je nini mantiki ya kuwa na serikali isiyofanya lolote kuhakikisha usalama mali na raslimali zetu?

Kazi ya serikali yetu ni kukusanya kodi (toka kwa wachovu; wenye uwezo wa kiuchumi mkubwa wachache wanalipa kodi wanayotakiwa)na kutumia makusanyo ya kodi hiyo pamoja na misaada toka kwa WAHISANI (mabasha) KUTUIBIA moja kwa moja au/na kushirikiana na WACHUKUAJI aka wawekezaji!
 
Zakumi,
Those black people are working for the Chinese. Look at the picture again. Who is the master and who is the servant?

Jasusi,

Without the help of well educated and informed Tanzanians, those chinese wouldn't be there. How didn't they have the audacity to go there?
 
Wabongo jamani tuache chuki na roho mbaya......ndio maana hatuendelei.....

Mchina hawezi kujichimbia madini kiholela hata siku 1......Sisi wenyewe kwa utapeli wetu na tamaa ya kupata

pesa kirahisi...ndio tumewapa pori la kuchimba madini kisha tunawegeuka....

zomba
hebu nisaidie kuwaelimisha hawa watu wasio sarifika

Ni kweli tupu. angalia sasa wao ndio wachomelea ma-grill ya majengo marefu humu Dar. Sisi tumekalia ujinga wa, "Nimesoma UDSM"
 
Wachina hawa hawa wanayafanya yale yale ya Ghana. Rushwa kwa mapolisi na kazi inaendelea. Lakini kama tukiwajibika kuwakamata na kuwarudishwa kwao, basi huku wataacha hayo.
 
Back
Top Bottom