M MPadmire JF-Expert Member Mar 7, 2006 3,928 3,225 Dec 12, 2010 #1 Du kali hiyo, ni kweli wachagga wana uhuru zaidi ya Uhuru wa tanzania, wana uhuru wa kiuchumi na Kiakili.
Du kali hiyo, ni kweli wachagga wana uhuru zaidi ya Uhuru wa tanzania, wana uhuru wa kiuchumi na Kiakili.
M matambo JF-Expert Member May 14, 2009 727 117 Dec 12, 2010 #5 gad oneya said: factual evidence,figures? Click to expand... facts za nini? Kwani wewe huoni hii forum ni ya nini??
gad oneya said: factual evidence,figures? Click to expand... facts za nini? Kwani wewe huoni hii forum ni ya nini??
Bantugbro JF-Expert Member Feb 22, 2009 4,476 4,250 Dec 12, 2010 #6 Mpadmire said: Du kali hiyo, ni kweli wachagga wana uhuru zaidi ya Uhuru wa tanzania, wana uhuru wa kiuchumi na Kiakili. Click to expand... Kumbe wewe ni secessionist... Mkuu angalia kisije kikatumika kile kifungu cha Treason, labda ungesubiri mpaka tubadili Katiba kwanza...:A S clock:.
Mpadmire said: Du kali hiyo, ni kweli wachagga wana uhuru zaidi ya Uhuru wa tanzania, wana uhuru wa kiuchumi na Kiakili. Click to expand... Kumbe wewe ni secessionist... Mkuu angalia kisije kikatumika kile kifungu cha Treason, labda ungesubiri mpaka tubadili Katiba kwanza...:A S clock:.
Tausi Mzalendo JF-Expert Member May 23, 2010 1,471 722 Dec 12, 2010 #7 Hivi... mbona mu wachokozi ivi.. kwanini kila mara munawafuata na maneno..wamewakoseeni nini kwani?
Preta JF-Expert Member Nov 28, 2009 24,323 18,793 Dec 12, 2010 #8 samora10 said: :couch2: Click to expand... :couch2:
Vawulence JF-Expert Member Jan 4, 2009 1,928 2,101 Dec 13, 2010 #9 kuprove hivi ni rahisi sana. 1. Wachaga wote hapa JF wanyoshe mikono juu. 2. Wachaga wangapi ni matajiri hapa bongo? 3. Je,hii nayo ni joke?
kuprove hivi ni rahisi sana. 1. Wachaga wote hapa JF wanyoshe mikono juu. 2. Wachaga wangapi ni matajiri hapa bongo? 3. Je,hii nayo ni joke?