Eti Wachagga walipata Uhuru kabla ya Tanzania? Hata Gavana Edward Twinning alikwenda

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Du kali hiyo, ni kweli wachagga wana uhuru zaidi ya Uhuru wa tanzania, wana uhuru wa kiuchumi na Kiakili.
 
Du kali hiyo, ni kweli wachagga wana uhuru zaidi ya Uhuru wa tanzania, wana uhuru wa kiuchumi na Kiakili.

Kumbe wewe ni secessionist...

Mkuu angalia kisije kikatumika kile kifungu cha Treason, labda ungesubiri mpaka tubadili Katiba kwanza...:A S clock:.
 
Hivi... mbona mu wachokozi ivi.. kwanini kila mara munawafuata na maneno..wamewakoseeni nini kwani?
 
kuprove hivi ni rahisi sana.
1. Wachaga wote hapa JF wanyoshe mikono juu.
2. Wachaga wangapi ni matajiri hapa bongo?
3. Je,hii nayo ni joke?
 
Back
Top Bottom