Eti ukimaliza form six kipi bora kuenda jeshi au chuo kikuu? Wapi kuna posho

Hata Kambini (JKT) hivo vyote vinapatikana bure. Kula (tena msosi wa maana), kulala, matibabu, umeme. Kila kitu bure.
Akiwa mvumilivu atatoka kimaisha ndan ya muda mfupi.
No... Thank you brother.

JKT ya sikuiz sio ile ya enzi zenu ambayo unaenda ukiwa na uhakika kuwa baada ya kozi kinachofuata ni ajira. Uliza vizuri idadi ya sasa ya wahitimuwa JKT
 
Eti ukimaliza form six kipi bora kuenda jeshi au kuenda chuo kikuu?
Mdogo wetu jeshi linaitaji kulipenda na kujitoa usiende jeshini kwa ushauli wa watu sababu jeshi niwito... Na usisome ili upate ajirah maisha yamebadilika soma fakati ambayo hata Kama usipo ajiliwa utajiajili na utapata hela... Jalibu kuchanganua na kufikilia kabla ya kutenda...
 
Hata Kambini (JKT) hivo vyote vinapatikana bure. Kula (tena msosi wa maana), kulala, matibabu, umeme. Kila kitu bure.
Akiwa mvumilivu atatoka kimaisha ndan ya muda mfupi.

hata pata hela ya kula kutoka kimaisha hiyo ni zaidi ya jeshi.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom