Eti Uingereza binti mzuri kama huyu kwao eti ni mbaya hana mvuto kisa mnene

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,614
Mzuka wanajamvi.

Haka ka red head kazuri sana miaka 23 plus size model lakini Uingereza eti wanamuona ugly na hana mvuto. Sasa najiuliza WTF really is wrong with this people?!😠😠😠

IMG_20201115_033250.jpg
Screenshot_20201115_035217.jpg


Sasa huyu hapo chini ni mdogo wake kate mke wa prince William wanamsifu mrembo na ana umbo la kuvutia balaa yani Inasikitisha demu utadhani mjusi eti kwao ndio ana mvuto na mrembo .
22810880-7838191-image-a-12_1577737900063.jpg
22812856-7838191-Armed_with_her_goggles_the_Duchess_of_Cambridge_s_sister_dived_h-a-10_1577831...jpg
22681160-7828107-Toned_Pippa_clutches_her_thighs_as_she_emerges_from_the_water_Sh-a-84_1577388...jpg


This is wrong totally unacceptable!
 
Hiyo ginger ikizidi unene kidogo tu itachukiza as kwa wazungu unene kwao ni uluzer....

Ila uhalisia ni kuwa wanene wapo wengi kwao kuliko kwenu ila siyo mastaa kule wanaendana na matakwa ya ustaa...

Nilimuona Jennifer Hudson aisee kajikondesha....

All in all weusi wanavutia zaidi wakiwa na nyama kiasi...hebu mfikirie yule aliyeigiza Ride Along Tanaka sijui aisee .....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom