Eti Uchumi wa Bluu!

ukisema neno uchumi wa blue kule visiweni huenda ukaishia ndani, serekali ya ccm wanahisi kama wanafanyiwa shindi. ni kujishtukizia tu

Maendeleo chini ya ccm ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa
 
Imekusudiwa kifalsafa hapo ,si unaijua ile buluu itiwayo kwenye nguo,haswa nguo nyeupe ,hivyo unapoambiwa uchumi wa buluu weka akili utafakari kwa kina,isiwe unaokota maembe alfajiri sana ,utaokota mpaka mabovu.
 
Naona safari hii wanasiasa wamekuja na terminology mpya uchumi wa buluu (Blue economy). Japo linaonekana kwa upana Ni Jambo zuri na likipangwa vyema linaweza kupeleka nchi Mbele.

Ila linasemwa tu na wanasiasa jukwaani bila kuonyesha mipango thabiti, na nn kifanyike, sioni jitihada za dhati kuendeleza uchumi tajwa.

Dhana hii inaweza kufa kibudu Kama viwanda vipya 52,000. Wanasiasa tuoneeni huruma kwa new terminologies kila awamu.

OLD TERMINOLOGIES>>>>Kilimo cha kufa na kupona, kilimo kwanza, BIG RESULTS NOW, UCHUMI WA GESI, Tanzania ya Viwanda etc. Sasa Tena uchumi wa buluu huku bado tunaagiza mpaka tooth pick Uchina.
Okay
 
Back
Top Bottom