Zenji mna chokochokoReclaim Zanzibar Glory!
OkayNaona safari hii wanasiasa wamekuja na terminology mpya uchumi wa buluu (Blue economy). Japo linaonekana kwa upana Ni Jambo zuri na likipangwa vyema linaweza kupeleka nchi Mbele.
Ila linasemwa tu na wanasiasa jukwaani bila kuonyesha mipango thabiti, na nn kifanyike, sioni jitihada za dhati kuendeleza uchumi tajwa.
Dhana hii inaweza kufa kibudu Kama viwanda vipya 52,000. Wanasiasa tuoneeni huruma kwa new terminologies kila awamu.
OLD TERMINOLOGIES>>>>Kilimo cha kufa na kupona, kilimo kwanza, BIG RESULTS NOW, UCHUMI WA GESI, Tanzania ya Viwanda etc. Sasa Tena uchumi wa buluu huku bado tunaagiza mpaka tooth pick Uchina.