Mama Amon
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 2,021
- 2,478
Hivi kwa mawazo yako, mahakama zetu ni huru au haziko huru
Mahakama haziko huru kwa kuwa zimesiasishwa (politicised) kupitia mikono ya serikali hii! Ni shiida.
Hivi kwa mawazo yako, mahakama zetu ni huru au haziko huru
Rip AquilinaWewe andika kiswahili tu nitakuelewa! Tume huru kwa muktadha upi!? Mie hii iliyopo ni huru tayari! Unataka waje mabeberu ndio wahesabu kura ndio uamini kuwa tume yetu ya uchaguzi ni huru?
Hivi kwa mawazo yako, mahakama zetu ni huru au haziko huru?
Mbona unaonekana umesoma ukiwajujuu umesimama! Kaa chini mama utulie kabla ya kukurupuka na ufupisho wa kizembe hivyo!
Chukulia mfano; wewe mama Amon unamsaliti mmumeo baba Amon na baadae unamkuta mumeo baba Amon na mwanamke mwingine unaanza kuleta songombingo wakati kila mmoja anajua wewe pia huwa unafanya mchezo huo na jamaa flani, sasa utapata wapi ujasiri wa kudai kukosewa na mumeo mama Amon?
Mbowe et al, acheni unafiki, safisheni ndani kwenu kwanza kabla ya kutoka nje!
Kwa hiyo utamlalamikia kuwa si mwaminifu na kumtaka atulie njia kuu wakati ww ukiendelea kuchepuka si ndio eeh! Mama Amoni huku akijua kabisa ww nae unachepuka, unategemea atakusikiliza!?Unarudia kosa lile like. Kwamba:
- Mama amoni anazini
- Baba amoni anazini
- Kwa hiyo uzinzi ktk familia ya baba na mama amon inakuwa ni halali.
HAPANA
Two wrongs dont make a right!
Baba amon akinifumania nimechepuka hapati keseni ya kuchepuka.
Kwa hiyo utamlalamikia kuwa si mwaminifu na kumtaka atulie njia kuu wakati ww ukiendelea kuchepuka si ndio eeh! Mama Amoni huku akijua kabisa ww nae unachepuka, unategemea atakusikiliza!?
Hata hivyo tume ya uchaguzi Tz haifikia kutokuwa na uhuru! Contexity ya uhuru inafaa kuendana na mazingira, na katiba! Kwa mazingira yetu na katiba yetu, tume yetu Mama Amon ni huru! Ila ni uhuru wenye mipaka!
Wabunge wa chadema ni watumwa wa Mbowe, kwa hiyo hawawakilishi wananchi bali MboweWewe umejuaje Wananchi hawana mpango na Tume huru, Umewafanyia interview ukajua Au umeconduct research gani Mzee ukaja na hayo Maneno ?
.
Ndio Maaskofu sio wasemaje wa wananchi
ila wabunge ndio wawakilishi/wasemaji wa wananchi bungeni kwahvyo matakwa ya katiba na Tume huru ni ya wananchi wapinzani wamefanya kutuwakilisha tuu.
Unasemaje?
Umejenga hoja ifuatayo:
- Ndani ya vyama hakuna uhuru
- kwenye Tume ya Uchaguzi hakuna uhuru.
- Kwa hiyo, kukosekana kwa uhuru katika Tume ni jambo halali.
HAPANA! Makosa mawili hayazalishi haki.
Huwezi kusema kuwa kwa vile ndani ya vyama hakuna uhuru basi kukosekana kwa uhuru katika tume ya Taifa ni jambo halali.
That is primitive naive and nonsensical reasoning....
Nini faida ya kuwa na Tume huru ya uchaguzi vs Tume isiyo huru?Wananchi hawanampango na hiyo tume, msiwasemee! Maaskofu siyo wasemaji wa wananchi...tusichanganyane hapa!
Tume tume ni
Maaskofu sio wasemaji wa wananchi! Hatujui ni makubaliano gani waliingia na Mbowe et al, mpaka wakafikia kunajisi kazi ya Mungu! Na wala hawawakirishi maoni ya waumini wao waliowengi!
Hivyo huo sijui walaka au salamu za pasaka haina hadhi ya kutumika kama ushahidi wa wananchi kudai tume! Jaribu kingine mama!
Huyu ndugu kachanganya mada, hajui kina gongo, zito na mbowe wataondoka, tume huru itabaki, katiba itabakiNadhani anaetaka tume huru zaidi ni wananchi mkuu sio kina Mbowe.
Mama Amon, mbona umeeukia 'pathway' ya risaai iaiyokuhuau? Na pia mbona umekimbilia kwenye jinsia!? Mimi nilikuwa natoa maoni yangu juu ya misimamo ya watu wanaotoka mwisho wa reli...kuwa misimamo ya kibishi mingine huwa ni ujinga wa mtu mwenyew kwa kutokuwa na taarifa sahihi!Kwa hiyo mimi mama amon ni mjinga kwa sababu ni mwanamke? Huo ni untanyasaji wa kijinsia. Nitake radhi
Ni vikundi cha kihuni tu hivyo, ni aibu kuita vyama vya siasa! Hata soni hana huyu Mbowe, baada ya kujichaguliachagulia viongozi kihuni huni kwenye chama chake pasi kufuata democrasia, uhuru, na uwazi, anasimama mbungeni kudai tume huru...huu siyo unafiki wa dunia hii, ni kiwango kilichopitilia!
Hakuna mwananchi aliyewahi kutaka tume huru, ili imfanyie nini. Mwananchi anataka maji, barabara za rami, madawa hospitalini, elimu bure, pesa, na vingine kama hivyo. Kwanza wapo wanachi wengi hawajui hata kazi ya Tume. Hilo ni hitaji la wanasiasa ili kujihakikishia mapito ya kuupata uongozi.Nadhani anaetaka tume huru zaidi ni wananchi mkuu sio kina Mbowe.
Waambie na ww ila sidhani kama wataelewa...sio kwa uzuzu, umbulula, na upumbafu walionao! Definition ya wananchi wa kawaida kwao siyo hiyo tunayoilewa ss! Ndio maana utasikia mara 'umma' haukumchagua Magu, mara nguvu ya umma'!Hakuna mwananchi aliyewahi kutaka tume huru, ili imfanyie nini. Mwananchi anataka maji, barabara za rami, madawa hospitalini, elimu bure, pesa, na vingine kama hivyo. Kwanza wapo wanachi wengi hawajui hata kazi ya Tume. Hilo ni hitaji la wanasiasa ili kujihakikishia mapito ya kuupata uongozi.
Sent using Jamii Forums mobile app