Marekani itayari kuzungumza na Korea KaskaziniMkuu Marekani hawezi Ku retreat kirahisi namna hiyo....
Ni mwiko kabisa kuanzisha vita na mtu ambae hujui vizuri uwezo wake halisi. Intelejensia ya Marekani haina taarifa kamili na muhimu kuhusu nguvu na technolojia ya kivita ya North Korea mpaka sasa. Kim anawachinja kabisa watu wote anaohisi kuwa watavujisha siri za kijeshi za Korea Kusini, hata kama awe baba yake mzazi.Mkuu asante kwa kunijuza aiseh....But nadhani ni economic interest ya marekan,huenda wanahofia kupoteza economic power wakipigana na hawa wakorea wa kaskazini
Mkuu hii hatari nyingine...Kim a.k.a mapanki hana mchezo katika hiliNi mwiko kabisa kuanzisha vita na mtu ambae hujui vizuri uwezo wake halisi. Intelejensia ya Marekani haina taifa kamili kuhusu nguvu na technolojia ya kivita ya North Korea mpaka sasa. Kim anawachinja kabisa watu wote anaohisi kuwa watavujisha siri za kijeshi za Korea Kusini, hata kama awe baba yake mzazi.