Eti "Siye tunaingia Mpaka Ndani Kukagua Mahabusu/Magereza" - Mwenyezi Mungu anawaona Mawakili wa Serikali

Ila Leo nimamini wale jamaa wana roho mbaya sana. Mnooooo yaani.
Mtuhukiwa kujieleza tulikuwa tazara na si Central wao wanalazimisha isiwe hivyo na mapolisi. Dah, kweli ishi uyaone ya walimwengu.
Hv pale wangeacha tu Jaji aaamue kama ipo sawa au lah wao wanapoteza nini
Wabaya sana watu hao!
 
Jaji kiongozi kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali.
Je akiwa mhimili wa mahakama alikuwa anawajibika kwa mhimili upi.
Au kutii
 
Yaani Mawakili wa Serikali ni kujitutumua kama vile nchi hii ni ya kwao. Leo huyo Chakula sijui Chavula kawaambia Mawakili wa Utetezi baada ya kuonesha kuwa huwa wanaruhusiwa kwenda kuonana na wateja wao Magerezani kuwa eti wao wanaingia ndani na hata kukagua mahabusu. Yaani yote hiyo ni kuonesha tu kuwa wapo juu ya Sheria na kuwaonesha Mawakili wa Utetezi kwa "inferior". Yaani hawa watu hawa wamejaa roho mbaya ile mbaya wanasahau kuwa kuna maisha baada ya kesi na hata baada ya kustaafu kazi. Kesi hizi hutunzwa kama precedents - wanakomaa sana sana kwa kitu ambacho hakipo. Hapo hamna ugaidi - Chavula na Kidando kumbeni kuwa kila nafsi itaonja mauti na mtaacha tu watoto na wajukuu huku duniani!
Ni upumbavu tu kujisahau kwamba wanaona wataishi milele ipo siku wataoza na kunuka tabia ya maskini yeyote ni roho mbaya
1637321653808.jpg
 
Wanamuweka jaji kwenye wakati mgumu wa kutoa maamuzi.
Na mbaya zaidi Tiganga anawaogopa. Hii ni hatari sana kama ndo mahakama zetu zimefikia hapa. Jana wamefika mahakamani saa 6 wanafanya wanavyotaka wao utadhani ni miungu watu. Pumbafu kabisa.
 
Yaani Mawakili wa Serikali ni kujitutumua kama vile nchi hii ni ya kwao. Leo huyo Chakula sijui Chavula kawaambia Mawakili wa Utetezi baada ya kuonesha kuwa huwa wanaruhusiwa kwenda kuonana na wateja wao Magerezani kuwa eti wao wanaingia ndani na hata kukagua mahabusu. Yaani yote hiyo ni kuonesha tu kuwa wapo juu ya Sheria na kuwaonesha Mawakili wa Utetezi kwa "inferior". Yaani hawa watu hawa wamejaa roho mbaya ile mbaya wanasahau kuwa kuna maisha baada ya kesi na hata baada ya kustaafu kazi. Kesi hizi hutunzwa kama precedents - wanakomaa sana sana kwa kitu ambacho hakipo. Hapo hamna ugaidi - Chavula na Kidando kumbeni kuwa kila nafsi itaonja mauti na mtaacha tu watoto na wajukuu huku duniani!
Wale ni washamba Kama washamba wengine ,ila Serikali ndo imeifikisha mahakama ilipo,

Yani hata nidham mbele ya jaji hawana, na jaji anawaangalia tu wanatoa mpaka maneno ya ovyo kabisa,wao ni taharabu tu kutaja vifungu hamna kitu, wako pale Sana

Eti ukisha kua wakili wa jamhuri ni PAMOJA na Mahakama,ebo kwamba hawaelewi ukiwa mbele ya mahakama Mawakili wote ni sawa,?

Sasa mchezo walioanza kuonesha mazalau mpaka kuchamba mama zetu ,na jaji yupo Kimia ,siku Mawakili wa utetezi wakianza tumia maneno makali tusisikie mtu ananyanyua mdomo, Ili Hali jaji ameshindwa kukemea leo

By the way hii kesi imekua kubwa kuliko uwezo wa jaji bora nae asome alama za nyakati ajitoe asisubili kukataliwa
 
Kumbe!
 
Yaani Mawakili wa Serikali ni kujitutumua kama vile nchi hii ni ya kwao. Leo huyo Chakula sijui Chavula kawaambia Mawakili wa Utetezi baada ya kuonesha kuwa huwa wanaruhusiwa kwenda kuonana na wateja wao Magerezani kuwa eti wao wanaingia ndani na hata kukagua mahabusu. Yaani yote hiyo ni kuonesha tu kuwa wapo juu ya Sheria na kuwaonesha Mawakili wa Utetezi kwa "inferior". Yaani hawa watu hawa wamejaa roho mbaya ile mbaya wanasahau kuwa kuna maisha baada ya kesi na hata baada ya kustaafu kazi. Kesi hizi hutunzwa kama precedents - wanakomaa sana sana kwa kitu ambacho hakipo. Hapo hamna ugaidi - Chavula na Kidando kumbeni kuwa kila nafsi itaonja mauti na mtaacha tu watoto na wajukuu huku duniani!
Naomba mwenye picha za hawa mawakili wa Serikali kwenye kesi hii atuwekee tuwajue hawa maadui.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, wale ni Mawakili wa serikali. Sasa unataka wafanye kazi ipi zaidi ya kuendesha mashitaka.
Katika taaluma ya uwakili, Mbowe na wenzie ni wateja wa akina Kibatala. Akina Kidando, mteja wao ni Jamhuri.
Katika kesi hiyo unatarajia akina Kidando waache kusimamia maslahi ya mteja wao kwenye hiyo kesi?
Taaluma ya sheria kitu GANI? Wale Ni empty , Kuna misingi mtu najenga bila kujali ni mwanasheria au la unaona hamna kitu,
 
Yaani Mawakili wa Serikali ni kujitutumua kama vile nchi hii ni ya kwao. Leo huyo Chakula sijui Chavula kawaambia Mawakili wa Utetezi baada ya kuonesha kuwa huwa wanaruhusiwa kwenda kuonana na wateja wao Magerezani kuwa eti wao wanaingia ndani na hata kukagua mahabusu. Yaani yote hiyo ni kuonesha tu kuwa wapo juu ya Sheria na kuwaonesha Mawakili wa Utetezi kwa "inferior". Yaani hawa watu hawa wamejaa roho mbaya ile mbaya wanasahau kuwa kuna maisha baada ya kesi na hata baada ya kustaafu kazi. Kesi hizi hutunzwa kama precedents - wanakomaa sana sana kwa kitu ambacho hakipo. Hapo hamna ugaidi - Chavula na Kidando kumbeni kuwa kila nafsi itaonja mauti na mtaacha tu watoto na wajukuu huku duniani!
Maisha ya duniani ni vita tu always, ukilegea inakula kwako
 
Mkuu, wale ni Mawakili wa serikali. Sasa unataka wafanye kazi ipi zaidi ya kuendesha mashitaka.
Katika taaluma ya uwakili, Mbowe na wenzie ni wateja wa akina Kibatala. Akina Kidando, mteja wao ni Jamhuri.
Katika kesi hiyo unatarajia akina Kidando waache kusimamia maslahi ya mteja wao kwenye hiyo kesi?
Mkuu nalitambua ilo Wala sikupingi KWa lolote ,swala hapa wabishane KWa hoja za kisheria si kuleta mazalau na maneno yasiofaa Mbele ya mahakama ,mpaka kuchamba mama zetu ,tuna sema ipo mifano utaitoa kulingana na wapi upo ,mingine unaweza kuiacha lingana na mazingira uliopo , ndo utaratibu wa kitz

Mfano ipo sehema unaweza naenda kunya na ipo sehem utasema naenda jisaidia simple

Hawa Sasa wamelewa sifa wanazopewa na wakina kingai , na Tim yote ya watesi ,wajinga sana
 
Ila Leo nimamini wale jamaa wana roho mbaya sana. Mnooooo yaani.
Mtuhukiwa kujieleza tulikuwa tazara na si Central wao wanalazimisha isiwe hivyo na mapolisi. Dah, kweli ishi uyaone ya walimwengu.
Hv pale wangeacha tu Jaji aaamue kama ipo sawa au lah wao wanapoteza nini

Roho zao bora ibilisi
 
Maisha ya duniani ni vita tu always, ukilegea inakula kwako
Kweli kabisa, Unaweza ukapigana vita vyako vizuri ila baadaye watoto na wajukuu wako wakapigwa ile mbaya! Mahita Junior tunamwona, na umri wake yule sijui atastaafuje? Amwombe Mungu sana!
 
Back
Top Bottom