Eti 'siwezi kukutajia nani kaniambia'...

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,063
115,461
Hivi inakuwaje mpenzi wako anakuletea mashtaka
na ku demand maelezo...unampa maelezo halafu unamuuliza
umeyatoa wapi hayo maneno
anakujibu 'siwezi kukutajia nani kaniambia'...

sasa hapo mi ndo nashangaa na kujiuliza maswali kibao
1.hakuna aliemwambia ni yeye mwenyewe kayatunga?

2.huyo alimwambia 'wanajuana vizuri sana so anamlinda' ?

3.huyo aliemwambia anayo mengi zaidi kumhusu so anaogopa
utaweza yafahamu?

ili mradi naona hili haliko sawa

na wapenzi wanaweza kuzungumza kitu bila kutajiana
source ya habari? sasa hapo 'kuaminiana kutajengwa vipi'?

binafsi nikiitwa kwenye kesi za aina hii kusuluhisha..
na sababu tabia hii wanayo sana wanawake..sanasana ntashauri
mwanaume atoe 'kelbu' za kutosha hadi hiyo source itajwe
au otherwise wanawake msiwe mnaanzisha mazungumzo ya aina hii ambayo
hutaki ijulikane nani kakwambia....

ukiamua kuzungumza zungumza yote na useme nani kakwambia
otherwise nyamaza kimya.....

cc snowhite Kaunga King'asti Dark City OLESAIDIMU Mtambuzi Fixed Point Ennie Karucee Kongosho Nivea
 
Last edited by a moderator:
Hii tabia inakera sana..Mimi nimeshaipiga marufuku ofisini na nyumbani..Kama mtu hawezi kunitajia aliyemwambia ni bora akae kimya kabisa...
 
haahaa mkuu The Boss umesahau ile sheria ya kulinda source ya habari? yaani hata iweje haitajwi popote,,,, so ana haki ya kulinda source yake lol

hapo ni kuseparate facts tu na upuuzi mwingine

sasa kuaminiana kunajengwa vipi?
what if hiyo source ni chakubimbi well known?
au na wewe unajua mengi kmhusu huyo source?
ambayo yangemsaidia mwenzio?
 
mi usijaribu kuniambia maana nitakutaja tu.....

nakumbuka kuna my best friend alikuja akanieleza maneno weee

eti mwishoni nisimtaje....kumtaja nilimtaja tu
 
haahaa mkuu The Boss umesahau ile sheria ya kulinda source ya habari? yaani hata iweje haitajwi popote,,,, so ana haki ya kulinda source yake lol

hapo ni kuseparate facts tu na upuuzi mwingine

Kulinda sources ni sawa na kuukaribisha unafiki....mapenzi ni baina ya wawili ukiwalinda hao mashakunako it means unawaona wa muhimu sana kuliko mwenza wako.....

Mie ukiniletea habar iwe uongo au kweli nakutaja tu lol siku ya pili utakomaaa;);););)
 
exactly my point
kama hakutajii ina maana huyo aliemletea umbea ni muhimu kwake kuliko wewe
 
Kabisa The Boss....tumependana wenyewe walikua hawapo...leo wanatuona tuko na furaha wanataka kuleta fitina na kujifanya wana huruma au sijui kupenda walete vijimaneno....inahusu?
 
Last edited by a moderator:
Hivi inakuwaje mpenzi wako anakuletea mashtaka
na ku demand maelezo...unampa maelezo halafu unamuuliza
umeyatoa wapi hayo maneno
anakujibu 'siwezi kukutajia nani kaniambia'...

sasa hapo mi ndo nashangaa na kujiuliza maswali kibao
1.hakuna aliemwambia ni yeye mwenyewe kayatunga?

2.huyo alimwambia 'wanajuana vizuri sana so anamlinda' ?

3.huyo aliemwambia anayo mengi zaidi kumhusu so anaogopa
utaweza yafahamu?

ili mradi naona hili haliko sawa

na wapenzi wanaweza kuzungumza kitu bila kutajiana
source ya habari? sasa hapo 'kuaminiana kutajengwa vipi'?

binafsi nikiitwa kwenye kesi za aina hii kusuluhisha..
na sababu tabia hii wanayo sana wanawake..sanasana ntashauri
mwanaume atoe 'kelbu' za kutosha hadi hiyo source itajwe
au otherwise wanawake msiwe mnaanzisha mazungumzo ya aina hii ambayo
hutaki ijulikane nani kakwambia....

ukiamua kuzungumza zungumza yote na useme nani kakwambia
otherwise nyamaza kimya.....

ukishaona hivyo ujue kabisa trust iko compromised.... nothing more, nothing less
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom