Eti 'siwezi kukutajia nani kaniambia'...

Kama una miliki sniper tunaanzaje kumtaja aliyesema? (just kddng)
Pengine wanaogopa ugomvi utakaoweza kutokea baina yenu.... lakini kama ukishakanusha ama kukubali huo umbea ulioletewa, what is the point ya kumjua aliyekusemea?
 
the whole idea ya maneno ya kuambiwa huwa hayawezi kunifanya nikauliza chochote!
sijui kwanini wen it comes to my relationship huwa siamini mtu yeyote except yule niliye naye kwenye hayo mahusiano!
MIMI BIFU LANGU NILIJUE MWENYEWE,NALITIMBWILISHA MWENYEWE,NALIMALIZA MWENYEWE!
kwanza nahisi ni utoto flani hiv!
 
Sasa akikwambia aliyemwambia utamfata na kumuuliza, utamuona mbaya hivyo source huwa haitajwi ili kumlinda aliyesema ili siku nyingine akiwa na habari amwambie ila ukimtaja hakwambii tena
 
Exactly, ambiwa maneno; fanya utafiti wako ukithibitisha mcomfront mumeo na sio kwa "eti, nimeambiwa.....", ni unyonge huo licha ya utoto.

Halafu kama kuna mabadiliko utayajua tu, huhitaji mtu wa tatu kukuambia; mimi ningeanza kuyaulizia hayo mabadiliko kwa mlengwa nijue what is wrong.

The Boss nilishindwa kuchangia huu uzi kwanza nikaanza kujitafakari mbona mimi na umri wangu wote sijaexperience hii kitu? Kuachana tunaachana lkn si kwa kuambiwa maneno na sijawahi kuletewa nakamata mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:

yani booonge la unyonge
naimagine hapa '' eti nimesikia yule fulani ni fulani,mxiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiu yani siku nikijisikia namtamkia mangi haya maaneno walahi nitajipiga kelbu mwenywe sitasubiri asikie neno la mwisho la hiyo sentensi!
NAFKIRI NDO MANA SIAMBIWI VITU!
mi tukikaa mshosti tuongee tu habari za fundi gani mzuri wa vitenge na recipe gani ni nzuri kuondoa hangover za morning glory baaasi!
haya maswala ya unajua shemeji jana nilimwona bar fulani na ashura sijui eheheh eti kwani siku hiz mmehamia mwenge mbona shemeji kila siku namwon mitaa ile jioni khaaaa !
 
Sasa akikwambia aliyemwambia utamfata na kumuuliza, utamuona mbaya hivyo source huwa haitajwi ili kumlinda aliyesema ili siku nyingine akiwa na habari amwambie ila ukimtaja hakwambii tena

mimi asee nitakutaja ili usiniletee tena hizo habari!
he is my man sitaki kuambiwa na mtu mwingine kuwa something is wrong!
NITAJUA TU!
I KNOW HIM!
 
anaeficha chanzo analake jambo. Kama anakiamini na kujiamini kwanini asi back up maelezo yake?? Biblia ktk Mathayo 10 inasema "na niwaambiayo sirini, yahubirini hadharani"
 
nadhan ushauri wa kutoa kelbu mpaka source itajwe ni muhimu ili uweze mtafuta na kumuuliza ukweli wa hayo aliyoyaongea maana hawa source wanafika hatua wanakua so powerful hadi wanatetemesha mahusiano yenu na wanaaminika kuliko muhusika kwamba yanayokuja kwenye source ndio ukweli na unayoongea wewe ni uongo!!!!
 
Usiponiambia hayo maneno umetoa wapi bora unyamaze. siwezi kusema habari ambayo sina uhakika nayo.
 
Hivi inakuwaje mpenzi wako anakuletea mashtaka
na ku demand maelezo...unampa maelezo halafu unamuuliza
umeyatoa wapi hayo maneno
anakujibu 'siwezi kukutajia nani kaniambia'...

sasa hapo mi ndo nashangaa na kujiuliza maswali kibao
1.hakuna aliemwambia ni yeye mwenyewe kayatunga?

2.huyo alimwambia 'wanajuana vizuri sana so anamlinda' ?

3.huyo aliemwambia anayo mengi zaidi kumhusu so anaogopa
utaweza yafahamu?

ili mradi naona hili haliko sawa

na wapenzi wanaweza kuzungumza kitu bila kutajiana
source ya habari? sasa hapo 'kuaminiana kutajengwa vipi'?

binafsi nikiitwa kwenye kesi za aina hii kusuluhisha..
na sababu tabia hii wanayo sana wanawake..sanasana ntashauri
mwanaume atoe 'kelbu' za kutosha hadi hiyo source itajwe
au otherwise wanawake msiwe mnaanzisha mazungumzo ya aina hii ambayo
hutaki ijulikane nani kakwambia....

ukiamua kuzungumza zungumza yote na useme nani kakwambia
otherwise nyamaza kimya.....

cc snowhite Kaunga King'asti Dark City OLESAIDIMU Mtambuzi Fixed Point Ennie Karucee Kongosho Nivea
mi ukiniambia hivyo nikishatoa maelezo then nikauliza ukakataa kunitajia basi nahold y intercept halafu natafuta value ya X mpaka useme kama usemi basi x=unofficial brake-up
 
Exactly, ambiwa maneno; fanya utafiti wako ukithibitisha mcomfront mumeo na sio kwa "eti, nimeambiwa.....", ni unyonge huo licha ya utoto.

Halafu kama kuna mabadiliko utayajua tu, huhitaji mtu wa tatu kukuambia; mimi ningeanza kuyaulizia hayo mabadiliko kwa mlengwa nijue what is wrong.

The Boss nilishindwa kuchangia huu uzi kwanza nikaanza kujitafakari mbona mimi na umri wangu wote sijaexperience hii kitu? Kuachana tunaachana lkn si kwa kuambiwa maneno na sijawahi kuletewa nakamata mwenyewe.

Thank you
 
amefanya vyema na ana hitaji pongezi. Mtoa habari hulindwa.

Hivi hata wewe mtu anapo kwambia jambo ambalo limekusaidia unaweza kumtaja?

Kwanini tusishughulike kwanza kuichambua taarifa tuna kimbilia source?
Huyo binti anajua vyema haki za vyanzo vya habari hasa binadamu.

Mkuu haki za source kulindwa kimahakama na kipolisi sawa
lakini sio kwenye umbea wa kawaida wa wapenzi...
 
mie ukiniambia kitu kuhusu msukuma ujue kabisa naenda kutoa maelezo kama ulivyoniambia, nikianza na fulani kasema hivi na vile, sijui ndio mana siku hizi sipewi tena umbea jamani, Lol mana kuna wawili msukuma aliwaleteaga noma haswaaa labda sasa hivi wananizodoa tu huko pembeni,

hii ndo tunaita loyalty ya mke kwa mume
i envy him
 
Specifically kwenye mapenzi au ndoa habari mbaya kabisa ni mtu kuwa na affair nje au kuwa partner wako say anakuroga,au anajenga na wewe hujui sasa haya yote ndio gharika za kila siku!!!!!!

Unanileteaje habari kama hii ndani kwangu bila kusema umetoa wapi hii habari???!!!!

Kaka The Boss anatakiwa aseme tu no compromise hapo na kutegemea nature ya tukio hata hiyo source yake pia inatakiwa pia kama ni physically reachable lazima ipate feedback ili kuvunja mtandao!!!!

USHUHUDA
Miaka ya nyuma wakati tuko chuo kuna dawa za malaria za natural therapy ziliingia kwa kasi sana pale opposite na Hindu Mandal Hospital nikawa nazitumia sasa kuna dada akaja rum akazikuta pale juu ya meza sasa kwa sabau hazijui akatoka na maneno kuwa ni ARV basi ikawa buzz word mpaka kumfikia girlfriend wangu akaja na kilio cha maana akiwa accompanie na rafiki yake;then she (rafiki)told kila kitu bila kumtaja mzushi wangu,nilifungua tu mlango nikawaambia watimke zao sababu mi ndio kwanza nasikia hiyo habari then hawataki kutaja wameokota wapi,was halfway mad!!!!!

Yule rafiki akamuambia "unaharibu mapenzi yako mtaje" ndio bi dada akafunguka mpaka siku aliyokuja huyo clasmate na kuniona nikila dawa "za ajabu" nilipotoa hiyo chupa my girlfriend was surprised sababu anajua hizo dawa in and out!!!!

Siku tumekaa sehemu tunakula yule informer huyooo akaja pale na salamu za kinafiki alipoenda counter wao sasa kwa kunifahamu nilivyo wakaanza kuniplease nisimripue eti mbele yao sababu nao walisikia tu kwa watu wengine kuwa yeye anasema ila hajawaambia direct!!!! Alivyokaaa tu nikakinukisha fasta akaishia kulia hapo na kuomba msamaha kuwa hakusema kwa uhakika ila ni kama alikuwa anaulizia kwa watu juu ya hizo dawa wao ndio hawakumuelewa!!!!!!

By then nshachafukaaa,lakini nilipojua chanzo na kukikomesha basi na habari ikageuka!!!!

Sasa hapa nisingekomaa na chanzo si ndio ingekula kwangu mazima!!???

umeona sasa
usingekomaa kuuliza source ungezushiwa chuo chote
watu wangekunyanyapaa...
 
The Boss mimi hapa nikiambiwa kitu kuhusu mpenzi/mume wangu simwambii hata aniue kuwa nani kaniambia kwa miaka na umri wangu naweza lifikisha kwke na bila asiniulize nani kakuambia na sms delivered nikishapima aliyeniambia sio mtu mbeya kha simtaji message itafika we fanya uwezalo ila simtaji!!

kama humtaji bora usiseme
vidume wengine kesi haiishi...
 
The Boss, ndo kwanza naiona hii.
Labda inategemea pia na mahusiano mliyo nayo. Na pengine cha muhimu ni je hayo maneno ni ya ukweli ama la? Haijalishi kama ameambiwa na nani. Inajalisha kama ni kweli ama la, kazi yako ni kuchukua hatua kwa nafasi yako. Badala ya kufocus kwenye nani alietoa habari, focus kwenye kushughulikia suala lililopo mezani. Mwisho wa siku alietoboa siri anaweza kuwa ni kwa nia njema tu. In the end, labda mwenza wako anataka muwe na amani na watu wote.

Umenishangaza kuwa kelbu inaweza kuwa solution mojawapo ya tatizo lolote lile? Wakati partner wako anathubutu kukuuliza ujue bado amekupa benefit of doubt. Anataka kusikia upande wako. Trust me, ikifika mahali huulizwi chochote ujue the woman is fed up and there is nothing you can do about it!

Yaani bora usiulizwe kuliko uulizwe na usiambiwe yameanzia wapi
hebo soma post za olesaidimu na timming..
 
yani booonge la unyonge
naimagine hapa '' eti nimesikia yule fulani ni fulani,mxiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiu yani siku nikijisikia namtamkia mangi haya maaneno walahi nitajipiga kelbu mwenywe sitasubiri asikie neno la mwisho la hiyo sentensi!
NAFKIRI NDO MANA SIAMBIWI VITU!
mi tukikaa mshosti tuongee tu habari za fundi gani mzuri wa vitenge na recipe gani ni nzuri kuondoa hangover za morning glory baaasi!
haya maswala ya unajua shemeji jana nilimwona bar fulani na ashura sijui eheheh eti kwani siku hiz mmehamia mwenge mbona shemeji kila siku namwon mitaa ile jioni khaaaa !

thank you
inaonesha how mature you are..
 
nadhan ushauri wa kutoa kelbu mpaka source itajwe ni muhimu ili uweze mtafuta na kumuuliza ukweli wa hayo aliyoyaongea maana hawa source wanafika hatua wanakua so powerful hadi wanatetemesha mahusiano yenu na wanaaminika kuliko muhusika kwamba yanayokuja kwenye source ndio ukweli na unayoongea wewe ni uongo!!!!

Na wasiwasi huu uzi utaongeza kelbu majumbani lol
 
Back
Top Bottom