Eti Sivutiwi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti Sivutiwi!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Nov 8, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,772
  Trophy Points: 280
  Eti Sivutiwi!  [​IMG]Wakati mwingine Inashangaza sana jinsi wanawake wanavyowawekea kiwango cha chini wanaume kuhusiana na hamu yao ya tendo la ndoa.

  Hawajafahamu mwanaume kupewa zawadi ya tendo la ndoa inavyoweza kuathiri kukubalika kwake kwa mkewe na hatimaye kuweza kuendelea kujiona ni mwanaume mwenye mke anayejali.


  Kumbuka wanaume na wanawake ni tofauti ndiyo maana wanawake hawana ndevu na nywele kifuani kama wanaume yote ni kwa sababu ya homoni za testosterone​
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,772
  Trophy Points: 280
  Kuna gari mwanaume analijua ambalo hata usiku wa manane akikumbuka anapenda kuliendesha![​IMG]Hivi kwa nini wanaume huwa hawahangaikii upendo (romance) kama wanawake?

  Jibu limelalia zaidi kutokana na walivyoumbwa wiring yao ipo tofauti.
  Wanawake huanzia kwenye romance, mawasiliano mazuri na hatimaye sex (spiritual to physical) wakati wanaume husafiri kwa opposite direction (physical to spiritual)

  Ukichunguza kwa undani zaidi utagundua kwamba mwanaume anapokuwa na uhitaji mkubwa au hamu kubwa ya sex huwa anakuwa anataka kujiunghanisha emotionally na mwanamke, ndiyo maana kwa mwanaume sex ni mhimu sana wakati kwa mwanamke romance ni muhimu sana.

  Kuwa na uelewa mdogo kuhusu hii tofauti hufika mahali wanawake waka –underestimate umuhimu wa sex kwa mwanaume na wakati mwingine wamewahukumu kwamba mwanaume anachotaka ni kitu kimoja tu nacho ni sex.

  Hata hivyo mwanaume kusisimka kimapenzi na kuhitaji sex ni njia ya kujiunganisha na mwanamke kihisia na ili ajifahamu kihisia kwamba anakupenda.
  Ni kupitia sex moyo wa mwanaume hufunguka na kumruhusu kupata hisia za upendo (love) kwa mke wake.

  Ni kupitia sex mwanaume hupata feeling za kupenda ingawa kwa mwanamke sex huja baada ya kutoa na kupokea upendo (romance)
  Wanawake huhitaji mawasiliano mazuri na kujisikia wanapendwa ili kufungua moyo kwa ajili ya sex wakati huohuo mwanaume huguswa na upendo wa mwanamke kupitia sex.
  Kama mwanamke anavyohitaji mawasiliano mazuri na mwanaume (partner) ili ajisikia anapendwa, mwanaume huhitaji sex ili ajisikie anapendwa.

  Sex drive ya mwanaume mara nyingi si rahisi kuweza kuifanya iwe turned off, yupo designed kuwaza kuhusu sex na kuhitaji sex muda mwingi na ni mara chache sana mwanaume hujikuta amechoka au yupo stressed kuhitaji sex.

  Hii haina maana kwamba mwanaume huwa anaoa ili kupata sex tu na haina maana pia kwamba anaoa ili asipate sex, Bali sex ni moja ya sababu muhimu za yeye kuoa na jambo la msingi ni kwake kuwa na mwanamke special ambaye yeye kama mwanaume atakuwa anapata hitaji lake la sex maisha yake yote.

  Wanaume wengi (siyo wote) likija suala la sex ni 24/7!
   
 3. R

  Rodelite JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2009
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 320
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hapo Mkuu PDidy .... umenena.
  I wish my wife could read this....lakini nitajaribu kumfanyia translation kwasababu bado anajifunza lugha yetu.
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,772
  Trophy Points: 280
  jitahdi mkuu wangu bado ujachelewa
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  pdidy ni kiwango gani hicho cha chini ?
   
 6. kimatire

  kimatire JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2009
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 365
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hapo Umelonga japo wanawake wa kwetu wana matatizo zaidi ya uelewa kuliko utendaji!!
   
 7. Nyuki

  Nyuki JF-Expert Member

  #7
  Nov 9, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli kabisa hasa wanawake wa Ktz anatumia sex kabisa adhabu kwa waume zao,kidogo tu anamnyima kumbe ndiyo anaharibu kabisa
   
 8. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2009
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  pdiddy .......mbona wanawake pia kwao sex ni 24/7!
  tatizo nafikiri ni definition ya sex kwa mwanamke na mwanamme

  mwanamke anataka kwanza foreplay ya muda mrefu ambayo hii wanaume wa kitanzania wengi mna tatizo nalo!

  hakikisha una master hii pdiddy na utamkuta nae anataka 24/7 tu
   
 9. N

  Nwaigwe JF-Expert Member

  #9
  Nov 9, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 789
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 80
  Nashukuru Pdidy, nilikuwa silielewi kwa kiwango ulichoelezea
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Nov 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,772
  Trophy Points: 280
  nimejitahidi sana mkuu lakini bado nasimamia wanaume 24/7
   
 11. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #11
  Nov 9, 2009
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Didy,nilidhani ni kaugonjwa kumbe 24/7 ni kwa wengi wetu,ntajitahidi kwenye romance ili twende sawa,
   
Loading...