Hii nchi haishi vituko! serikali imetenga sh bilion moja kama mtaji kwa vijana waliomaliza vyuo. Hivi kwanini wanatoa hizi pesa kipindi cha kukaribia uchaguzi? mabilioni ya jk yalipotelea wapi? saccoss zilizofunguliwa na wabunge ziko wapi? rushwa ndo inaanza mapema hivi?