Eti serikali yatenga bil1 kwa graduates kama mtaji, siasa tena!

jzm-teak

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
1,628
1,195
Hii nchi haishi vituko! serikali imetenga sh bilion moja kama mtaji kwa vijana waliomaliza vyuo. Hivi kwanini wanatoa hizi pesa kipindi cha kukaribia uchaguzi? mabilioni ya jk yalipotelea wapi? saccoss zilizofunguliwa na wabunge ziko wapi? rushwa ndo inaanza mapema hivi?
 
tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
16,135
2,000
hii nchi haishi vituko! serikali imetenga sh bilion moja kama mtaji kwa vijana waliomaliza vyuo. Hivi kwanini wanatoa hizi pesa kipindi cha kukaribia uchaguzi? mabilioni ya jk yalipotelea wapi? saccoss zilizofunguliwa na wabunge ziko wapi? rushwa ndo inaanza mapema hivi?
naona MAGAMBA wameanza kutafuta pa kutokea, lakini hawaponi safari hii.
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
29,254
2,000
Mbona simple, kwani kwenye kupiga kura wataenda kukupigia?? Kama utabahatika na mkopo, unauchukua na kura huwapi, unafanya mambo yako "kisomi", hamna kuuza kura kijinga jinga!
 
needeseela

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
1,897
2,000
Vijana nawapenda sana msidanganyike Kama 2005 especially wale wa chuo. 2005 mlidanganywa mtapewa mikopo leo wengi ni majeruhi wa ahadi ile hewa. Tena hii leo tunadanganywa billion moja kwa vijana bora tufe na umaskini wetu kuliko kuudhalilisha utu wetu. Tutakapo kwenda kwenye sanduku la kura tufanye kweli nipo hapo tutakapopata ukombozi wa kweli. Narudia tena vijana msirudie kosa la 2005 kwenye sanduku kijana Fanya kweli Kwa Amani bila fujo na itakuwa umelikomboa taifa lako.
 
mkuu hujui rushwa? Sasa hivi vijana wanapiga t-shirt za lowasa, eti chaguo la Mungu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom