Eti samwel sita anatumia akili siyo tumbo katika kufikiri! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti samwel sita anatumia akili siyo tumbo katika kufikiri!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MKWECHE, Jul 17, 2011.

 1. MKWECHE

  MKWECHE JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 299
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Siku za karibuni nimekuwa nikimsikia sita akijigamba na Kauli za Uadilifu wa viongozi na Kuponda wenzake kama si waadilifu na Hata kwenda kwa kuwaita Wapinzani ni Wanafiki kwa kupinga posho za vikao!
  Jana alienda mbali zaidi kwa kusema yeye ni mmoja ya wanatumia Akili katika kufikiri wengine ni wale alio kuwa nao mbeya
  1)Huyu Sita Anaendelea Kung'ang'ania nyumba ya Spika wakati sio spika na Muda wake uliisha na hakupewa nafasi tena!Kama anauchungu na
  fedha za walipa Kodi kwanini ang'ang'anie nyumba ya spika na kusababisha spika wa sasa kukodishiwa nyumba kwa hela za Umma!
  2)Kwa nini awaite wanafiki wabunge waliojitolea kubana matumizi ya serikali kwa kukataa Posho ili kuzipunguza!
  3)Namkumbuka hata wakati ule akiwa Spika alisimama na kutetea wabunge kupokea posho mara mbili
  Naomba nisaidiwe kuhabarishwa Uadilifu wa Sita na Matumizi yake ya akili kwa ajili yetu wananchi na Taifa
   
Loading...