Eti'' rafik yangu ana niambia kutongoza ni kaz kubwa sana mmh?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti'' rafik yangu ana niambia kutongoza ni kaz kubwa sana mmh??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Justin Dimee, May 7, 2012.

 1. Justin Dimee

  Justin Dimee JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 1,148
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Ni best angu leo tulikuwa tunapiga nae story hapa dah sasa ndipo aka anza kuniambia kutongoza mwana mke mpaka awe kwenye lini ni kaz kubwa na ndio maana ikawekwa kwa wanaume jasiri coz ukichek wana wake wanapata tabu sana pale wanapo tongoza mwana ume coz wao co jasir kama wana ume
  but mi ni ka mwambia c dhani kama yeye ata kuwa sahihi coz mi kwa upande wangu na chukulia kutongoza ni jambo lakawaida tu
  vp humu jamvini mna weza semaje kuhusu swala hili!'?
   
Loading...