Santuri, Kaseti floppy, CD na sasa DVD na USB flash ndio njia ambazo kazi ya Sanaa zimekuwa zimekuwa zikiuzwa na kuhifadhiwa. Japo
hizo za mwanzo zimepitwa na wakati
Shukrani kwa wenzetu wa Ulaya na Asia kwa tecnoloja Hizo.
Hivi kwa mfano yani Mkaja na Flash simple ambazo zinasecurity ambayo itamfanya mtu asiweze kunakili au ku share mkawa mnatuuzia kazi zenu humo. Imekaa vipi? Hiyo nadhani imekaa vyema au sio?
Ma CD yanaharabika haribika, Inakuwa ngumu kutunza, Hata jirani akiomba akatazame kwake unaona noma kumuachia kwa sababu hujui ubora wa DVD player yake, Isije ikaharibu DVD zako
Kama kugundua hatuwezi, Je tukiwa wa kuwanza tu kuuambia ulimwengu kuwa soko la Sanaa na USB flash linawezekana na hiyo tunashindwa?
Aaah bwana Msizingue katika hili. Tuuonyeshe tu ulimwengu kuwa kama kugundua hatuwezi lakini kwenye kwenda na wakati tupo na hatujaachwa nyuma