ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,650
kweli dunia inazunguka jamani.
Nani kakudanganya?
kweli dunia inazunguka jamani.
mkuu usilipie reception kama hulali, ongea na mhudumu kule hata 30-40 anachukua.Mkuu ni elfu 80 hiyo labda bei ya zamani!watu wanaliwa acha!
Hivi hii ni ishu mpya kweli?
Mboni tokea enzi hizo ni hivyo?
baada ya hapo watakuja wakuu wa idara,wakurugenzi,wake wa makatibu wa wizara mara wa mawaziri etc
kwahiyo na wewe una wako. Inapendeza kwa kweli, maana huwa nikimuangalia my wife, nasikia uchungu sana kama kuna dume linaweza kumkula. For sure nikigundua nitatoa talaka, maana sitaweza kabisa kuvumilia kwa jinsi ninavyompenda.
Mimi najua tangu miaka ya 1990 wanafunzi wa IFM walikuwa ndo zao sanaaaaaa..Kwa hiyo yawezekana hako kamtindo wanaenda nako mpaka maofisini kwao..Jamani wadau wa hili jukwaa la MMU nilikuwa na rafiki yangu mahali tupata kirauli mitaa ya Oysterbay kuna baa inaitwa Trinit sasa jamaa akaniambia unamuona yule dada ana jamaa tunafanya naye kazi Siku hizi wadada wa maofisini ndiyo wamekuwa wadada poa unampa chake unaenda kubrudika wanakuwa wengi sehemu zao nizile baa zinazotembelewa na watu fulani niwengi ajabu hivyo usishangae kesho ukakutana na Demu mko naye ofisini kakupigia kimin na koko ya hatari yupo kazini na akikujua anakwambia ya hapa yaishie hapa!!!
Kweli siamini kama kweli nimeona leo nije nayo hapa!!Wengi eti hadi kona baa wapo na wanamaofisi makubwa wanalipwa mishahara mizuri wengine kwenye mabenki wengine ni watumishi wa serikali!!
Mimi naona siyo stress ni fashion na zaidi ni haya mambo ya uzungu yameharibu sana kwani mimi naona watu na hizi happy hour za kioffice ni njia ya kuwapata wanawake hazina dili wewe mkeo akikwambia leo tunaenda bagamoyo tuna pati yakiofice kaa chonjo kule ni miduara kunywa na kuishia guest maana unaambiwa tumetayarishiwa usafiri!!jamani mbona mambo haya siku hizi yamehalalishwa kabisa......nimeanza ofisi mpya nimekuta hapa ofisini mambo haya yameingia level ya wake na waume za watu.....in a way mtu anajulikana kama Mume wa Y na pia ni boyfriend wa X, tena juzi tu imetokea huyo Mume wa Y akawa anamtongoza tena demu mwingine(Z) yule z akajibu mbona uko na X ukiacha nae let me know......yani nilishangaa sana kuona nafasi ya mke (Y) haipo kabisa wala sio threat kwa hao wadada....nikajaribu kufanya uchunguzi wangu na kugundua kuwa wengi wa hawa watu hapa ofisini ndoa zao ni moto wa kuotea mbali so wanawake wako stressed wanaamua kutafuta mahali pa kupozea,kweli inasikitisha sana hata sijui tutaponea wapi na hii dunia....Mungu atusaidie