Eti noti mpya kusitishwa soon??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti noti mpya kusitishwa soon???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jayfour, Feb 23, 2011.

 1. Jayfour

  Jayfour Senior Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimesikia eti serikali ina mpango wa kusitisha matumizi ya noti mpya baada kuonekana noti feki zimezagaa kwa wingi kila kona ya nchi hivyo kuwa vigumu kuzidhibiti kutokana na kufanana sana na noti halisi... !?
  Naomba wana JF wenye taarifa za ki-intelijensia watujuze.
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Feb 23, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Mmh hii itakuwa kali kuliko kama ni kweli, maana hata miezi sita hazijatimiza!
   
 3. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,832
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Kama ni kweli tetesi hii,basi tunapaswa kumfuta kazi jk na timu yake kwani ni zaidi ya mafirauni.Haiwezekani utumie fedha za walipa kodi kuchapa noti mpya then usitishe matumizi yake,HUU UTAKUWA NI UFISADI MKUBWA!
   
 4. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Serikali inaongozwa na vialaza kila kitu kinaenda kombo, rais punguwani, PM Pinda Juju, Bungeni Makinda Zuzu basi tafrani kila kona ya nchi, dahhh sijui kama tutafika huko tuendako:A S 13:
   
 5. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Wallah sijui kitachofanyika, bali katika kumbukumbu zangu nitabakiwa na utani "joke" ya waziri wa fedha alipokuwa anatetea umakini wa noti hizo kuwa eti "kuchuja rangi ni moja ya vipimo vya ubora na usalama wa noti hizo". Teh, teh, teh! Hii hata mtoto wa chekechea hawezi kuimeza. Inji hii bana, we wacha tu!
   
 6. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kama nikweli na mkataba itakuwaje au ndio ki-dowans kingine
  maana fidia tunazodaiwa tunaweza kuwa bankrupt soon
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  I wish it were not true!...maana nahofia nitashindwa kujizuwia na nitapewa ban!
   
 8. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kama kuna noti mpya feki basi BOT wanahusika moja kwa moja,utengezaji wa noti hufanywa kwa usiri mkubwa kwahiyo uingiaji wa noti bandia sambamba na uanzaji wa matumizi wa noti mpya unamaanisha kuna watu walipewa copi na kuzitengeneza mapema kabisa na kiziingiza kwenye mzunguko sambamba na noti halali.BOT kwa hili hawawezi kukwepa lawama.
   
 9. Tigga Mumba

  Tigga Mumba JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 747
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Noti feki ni alama nyingine ya usalama. Crap government
   
Loading...