Eti "niko serious natafuta mchumba", hebu achane utapeli wa hisia za watu!

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,684
2,157
binafsi mwanzo niliamin kuwa kweli huenda watu wako makini na wanahitaji wachumba kweli! lakini kadili siku zinavyozidi kwenda nimegundua kuwa ni mchezo tu na wanaopost mada hizi hufanya hivyo kuwaenjoy wachangiajia. nasema hivyo kwa sababu unaweza kukuta mada nyingi zinatafuta wachumba na wanaoanzisha wanajinsia tofauti. kwanini huyo mwanaume au mwanamke asimtafute muhusika kupitia mada iliyoanzishwa kuliko kuanzisha nyingine kama hiyo? pia mbona hatupat feedback kwa waliofanikiwa?
 
uun 2 amna lolote
 
wewe nae bwana yaani kweli mtu na akili zake atafute mke/mume online....anayetafuta ujue yupo desparate au anataka kugegeda/dwa
 
binafsi mwanzo niliamin kuwa kweli huenda watu wako makini na wanahitaji wachumba kweli! lakini kadili siku zinavyozidi kwenda nimegundua kuwa ni mchezo tu na wanaopost mada hizi hufanya hivyo kuwaenjoy wachangiajia. nasema hivyo kwa sababu unaweza kukuta mada nyingi zinatafuta wachumba na wanaoanzisha wanajinsia tofauti. kwanini huyo mwanaume au mwanamke asimtafute muhusika kupitia mada iliyoanzishwa kuliko kuanzisha nyingine kama hiyo? pia mbona hatupat feedback kwa waliofanikiwa?

Me nimempata humu jf ndoa tayari
 
kuna ambao wako serious, usikatishe tamaa wengine
 
thats just a perception there isnt special place to meet your beloved.

well yes there isnt a special place but show me 1 cyber relationship that has led to marriage and i will show u 1 million that have ended in heartbreak.
 
Tenda wema uende zako,kama walikuwa wanafanya usanii haya ila kama sio usanii basi watakuwa wamefaidika na ushauri watakaopewa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom