Eti, nifanye nini?

vukani

JF-Expert Member
Dec 30, 2009
245
165
Ili niwe mwenyeji wa jukwaa hili la Chit Chat?

Kwa kifupi mimi ninaishi Arusha, lakini nimezaliwa Dar na kukulia Dar ingawa wazazi wangu ni wenyeji wa Kilimanjaro. Kule Arusha niko Kibiashara, nikisafiri safiri kwenda Nairobi na Kampala kibiashara.
kwa sasa niko Dar kwa wazazi wangu nikisubiri kula sikukuu.
 
Last edited by a moderator:
pole mwaya utaelewa taratibu ila wengi humu ni waume na wake za watu so take care....usivamie ngome ya watu...
Nimesoma post nyingi humu naona kama vile mnajuana
wadada kama cacico, Madame B, Ciello, charminglady, Kipipi, snowhite, @FP, sweetlady lara 1, na wanaume kama vile kina Arushaone, Erickb52, manoah, Baba V, Asprin, platozoom, Bujibuji, na wengnei naona kama vile ni group ya watu wanaokutana mara kwa mara kutokana na mzungumzo yao humu, jinsi wanavyochomekeaga out of topic kuashiria kuna jambo wao tu ndio wanalifahamu

Mara nyingi huwa natoka kapa kwa sababu naingiaga huku kwa ku bip
 
vukani Jibu hili swali!wewe ni mwanaume,mmeenda kutembea na Rafiki yako mpendwa,mlipofika maeneo ya nje ya mji,mkakuta kuna beach,akaamua aende kujisaidia haja kubwa,katikati ya shughuli yake akang'atwa na nyoka matakoni karibu na glumeti ya kutolea mizinga,sasa kuna option mbili 1.umnyonye sumu huyo rafiki yako ambaye ni mwanaume,sehemu zake za haja kubwa ambapo ameng'atwa na nyoka ama
2.umuache afe.
Utachagua lipi hapo baada ya hapo ndipo nitakapokuruhusu kuonana na Chilli na tedo maana huwezi onana hata na wajumbe wa kamati sa hv mpaka ufanye hii mitihani vema.
 
Rafiki ni bora kuliko mwanasesere!
 
Nimesoma post nyingi humu naona kama vile mnajuana
wadada kama cacico, Madame B, Ciello, charminglady, Kipipi, snowhite, @FP, sweetlady lara 1, na wanaume kama vile kina Arushaone, Erickb52, manoah, Baba V, Asprin, platozoom, Bujibuji, na wengnei naona kama vile ni group ya watu wanaokutana mara kwa mara kutokana na mzungumzo yao humu, jinsi wanavyochomekeaga out of topic kuashiria kuna jambo wao tu ndio wanalifahamu

Mara nyingi huwa natoka kapa kwa sababu naingiaga huku kwa ku bip

Signature yako inajieleza vizuri sana.
What we need is love.
However it is not only love, but also love that creates a lovely friendship!
That's it my dear!

Mfano mimi kati ya hao members ulowataja simjui hata mmoja na sijawahi kushare nao tukio lolote lile on my consciousness . . . . . basi tu ni kuchangamkiana!

You are warmly welcome, jisikie huru kabisa!
 
mbona mie hujanitaja...hujui mie ndio nashikilia ufunguo wa huu mjengo, sasa leo lazima ulale nje
 
Last edited by a moderator:
mbona mie hujanitaja...hujui mie ndio nashikilia ufunguo wa huu mjengo, sasa leo lazima ulale nje

samahani kaka, haya nipe introduction niwajue watu na nafasi zao na taratibu za humu mjengoni,
 
Signature yako inajieleza vizuri sana.
What we need is love.
However it is not only love, but also love that creates a lovely friendship!
That's it my dear!

Mfano mimi kati ya hao members ulowataja simjui hata mmoja na sijawahi kushare nao tukio lolote lile on my consciousness . . . . . basi tu ni kuchangamkiana!

You are warmly welcome, jisikie huru kabisa!

Ahsante dada
kwa hiyo hapa kwa kifupi watu hawajuani zaidi ya kupiga soga tu, au nimekosea?
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom