Eti ni nani alilileta neno FISADI kutokea Kenya kuja hapa Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti ni nani alilileta neno FISADI kutokea Kenya kuja hapa Tanzania?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by eliesikia, Apr 21, 2011.

 1. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  habari,
  Hii ni thread ya kudedesa tuu kuhusu maneno mapya ya ufisadi.
  Nimejaribu ku-research lakini watu wengi wamekuwa hawajui lakini wengi walisema Dr. Slaa ndio wa kwanza kulisema hapa nchini mwaka 2007.
  Kihistoria lipo kila mahala hadi kwenye biblia na vitabu vingine vya dini.

  UFISADI ni mambo machafu yoote lakini Kenya wao ndio waliaanza kulitumia kwa kuwaita wahujumu uchumi kama mafisadi. Wao hadi trafiki mporaji wa barabarani anaeonea matatu na magari mengine wooote mafisadi.

  narudi kwenu wana-JF
  Lakini kabla sijamalizia nataka nisikie uzoefu wenu.

  nawasilisha!!
   
Loading...