Kwa siku za karibuni kumeibuka wimbi la vijana mabinti na hata baadhi ya watu wazima kuvaa mavazi ambayo hayaendani na mila na desturi ya mtanzania Vijana wanazidi kuiga kila wanachokiona kwenye Tv lakini kwa Kuwa Serikari haijawakemea wao wanaona ni ujanja kwenda na wakati hata Kama huo wakati hauzingatii maadili ya mtanzania tusipokuwa makini vijana watatembae bila nguo