Eti ni kweli Waziri wa Maji Prof. Mwandosya Amerejea Kutoka India Kimyakimya!!

Kwa uhakika kabisa figo zake zimekataa kazi, kwa hiyo anachuja kwa mashine (haemo dialysis) . Hata kama amerudi atarudi india tena, kama atataka kuendelea kupumua. My take haduma kama hizi zinawezekana kabjsa kufanyika hapa nyumbani, lakini sijui nini kifanyike, malipo ya dowans ya mwezi mmoja yanaweza kuinstall huduma hii mhimbili.mgawanyo wa cake ya taifa ni mbovu.
 
Back
Top Bottom