Eti ni kweli Waziri wa Maji Prof. Mwandosya Amerejea Kutoka India Kimyakimya!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti ni kweli Waziri wa Maji Prof. Mwandosya Amerejea Kutoka India Kimyakimya!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kingcobra, Apr 15, 2012.

 1. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Wakuu,

  Kuna mdau mmoja amenihabarisha kwamba Waziri wa Maji Prof. Mwandosya yupo nchini kama wiki mbili zilizopita. Inasemekana alirejea nchini kutoka India kimyakimya bila mwandishi wa habari hata mmoja kujua. Kama kumbukumbu zangu zipo sawa waziri alienda India kwa mara ya pili kuendelea na matibabu ya ugonjwa wake. Je, ni kweli Prof. karejea? Kama ni kweli, hali yake ikoje na kwa nini this time ameamua kutua kimyakimya? Anakwepa nini?

  Wadau mlio karibu nae ebu tujulisheni tafadhali.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Thijui
   
 3. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kama kweli amerudi kimya kimya basi ujue huo ndio mwisho wa taarifa ya habari.
   
 4. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa Prof Mwandosya amerejea nchini na yupo nyumbani kwake Bahari Beach au Kunduchi Mtongani.
  Kuna thread hapa ilianzia wa na Pdidy ya kumwombea Prefesa wetu,karbu wiki mbili zilizopita, na hii ni katakana na wale waliomwona kumhurumia sana kwa Hali aliyonayo.

  Hali Yake kwa kweli si nzuri sana na anahitaji maombi, kwa wale wa imani.
   
 5. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inawezekana kweli hali yake siyo nzuri kwani asingetua bongo kimya kimya. Waliomwona watujuze jamani. Tunaendelea kumwombea candidate wa uprezidaa wa 2015.
   
 6. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Walaaniwe woote wale waliohusika na shida yake hii ikiwa ni kweli kuna mkono wa mtu. Wakati mwingine Mungu mwenye rehema hushindwa kuvumilia maovu ya wandamu na kuamua kuyalipiza hapa hapa duniani. Ubaya haulipi na hatima yake huwa ni aibu.
   
 7. n

  nndondo JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 534
  Trophy Points: 280
  ni kweli hali yake ni mbaya sana, hata huko nyumbani watu hawaruhusiwi kumuona kabisa, tumuombeeni mungu amalize safari yake salama, maana inaonekana usiku wake umeshafika. Bwana akae nnyi
   
 8. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mmmhhhhh, michango mingine bwana!!
   
 9. M

  Mlyafinono Senior Member

  #9
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari za kurudi kwa Prof.Mwandosya ni za kweli, nasikia alipofika nchini alikuta dereva wake amestaafu.kutokana na mapenzi yake na dereva huyo aliagiza aje kazini ampeleke kijiji kwake.
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Apr 15, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mungu ampe nguvu apone haraka.
   
 11. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,060
  Likes Received: 6,507
  Trophy Points: 280
  Mwe phiki kyala.
   
 12. P

  Pweza Dume Member

  #12
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  hivi prof mwandosya anaumwa nini hasa????
   
 13. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ugonjwa wa Magamba
   
 14. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,259
  Likes Received: 2,016
  Trophy Points: 280
  kama mwenyewe kakaa kimya basi anachoumwa anakijua!..na kama hatangazi basi ww kaa usubiri matokeo, magonjwa mengine huwa hayawekwi hadharani huko afrika
   
 15. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,259
  Likes Received: 2,016
  Trophy Points: 280
  kama mwenyewe kakaa kimya basi anachoumwa anakijua!..na kama hatangazi basi ww kaa usubiri matokeo, magonjwa mengine huwa hayawekwi hadharani huko afrika
   
 16. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  nasikia anaumwa maradhi ya mgongo
   
 17. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Kansa ya damu nasikia ngumu kupona isipokuwa mapenzi ya Mungu
   
 18. M

  Matunyengule JF-Expert Member

  #18
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 701
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Biblia inasema afurahiaye mauti ya mwenzie hatakosa mapigo.
   
 19. N

  Ngarenaro JF-Expert Member

  #19
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mungu azidi kumtia nguvu na aimarishe afya yake
  Prof. Mack Mwandosya
   
 20. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #20
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Afi tu huyu mtu, mbona anaendelea kutubebesha mzigo walipa kodi?
   
Loading...