Eti ni kweli selection zikitoka na wale wa kwenda college watachaguliwa?

HMJ

Senior Member
Apr 24, 2013
157
20
Jamni kama kuna m2 ana ufahamu na jambo hili naomba anisaidie,kuna tetec mtaani kuwa selection za advance zitatoka pa1 na za college je kuna ukweli wwte kuhusu hilo na je tuliofanya application tutafanya tena au ndo bac tena coz wzara ya afya tayar wamesha 2lia ela ze2 za form na college nyinginezo naomben kufahamishwa wakubwa ni hayo 2

thnx!!!!!!
 
Back
Top Bottom