Eti ni kweli nia ya rais Magufuli ni kumfunika Nyerere?

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Under Magufuli, Tanzania is dying slowly.

Magufuli hana dhamira ya dhati ya kuendeleza nchi, nia yake ni kuona anajenga majengo na miradi mikubwa kwa mikopo mikubwa yenye tiba kubwa na masharti magumu sana, ilimradi tu, amfunike Nyerere.

Mpaka anamaliza utawala wake, Magufuli atatuachia mzigo Mkubwa sana wa madeni.

Halo achilia mbali kesi ambazo zinafunguliwa Kila kunapokucha kwa sababu ya Magufuli kuvunja mikataba kiholela na maamuzi ya kukurupuka.
 
Hata JK anajuta huko aliko, walimwambia huyu anafaa kuwa mnyampara wa barabara hakusikia, wakamwambia huyu hajawahi kuwa hata balozi wa nyumba kumikumi tu hakusikia, sasa wote tumeanza kuongea kiswahili kizuri
 
Under Magufuli, Tanzania is dying slowly.

Magufuli hana dhamira ya dhati ya kuendeleza nchi, nia yake ni kuona anajenga majengo na miradi mikubwa kwa mikopo mikubwa yenye tiba kubwa na masharti magumu sana, ilimradi tu, amfunike Nyerere.

Mpaka anamaliza utawala wake, Magufuli atatuachia mzigo Mkubwa sana wa madeni.

Halo achilia mbali kesi ambazo zinafunguliwa Kila kunapokucha kwa sababu ya Magufuli kuvunja mikataba kiholela na maamuzi ya kukurupuka.
Mkuu Naz jaz, I would like to differ kwenye hili la dhamira, kwa sisi tuliojaaliwa kwa kumtazama tuu mtu usoni anapoongea, unaoona dhamira yake ya dhati, machoni na moyoni, rais Magufuli ana dhamira safi na ya dhati toka moyoni mwake kuibadili Tanzania kuwa nchi ya ahadi, na wala sio kumfunika Nyerere, bali Magufuli ni kama Nyerere.
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni Kazi Tuu, Ila Pia sio Kama Nyerere! - JamiiForums

Tatizo ni katika kupanga tuu vipaumbele vyetu.

Mfano alipoamua tujenge Tanzania ya viwanda, then kwa nchi inayotegemea kilimo kwa 80%, then Tanzania ya kweli ya viwanda, ni Tanzania ya agro processing industries, hivyo kipaumbele number 1 ni kuwekeza kwenye kilimo, kuzalisha malighafi ya viwanda na sio kununua ndege, kujenga SGR na flyovers.

P
 
Kwanini fedha ya kigeni imeadimika?
Anafanya nini Ku boost exportations ambapo ndio chanzo kikuu cha foreign currencies?
Kwanini hataki kujenga smelter tuyeyushe chuma cha Mchuchuma na Liganga tuuze nje tuongeze mapato?
Viwanda anavyovitaka Magufuli vya vyerehani vinne havina tiba kwa kutuongezea mapato ya kigeni kwani materials zote zinazotumika ni imported. Na kwa sasa viwanda vyetu vya Nguo vinatengeneza sanda tu za kuzikia, kaniki, kanga na vitenge vya low quality ambavyo haviuziki na havikubaliki kwenye soko la nje
Mkuu Naz jaz, I would like to differ kwenye hili la dhamira, kwa sisi tuliojaaliwa kwa kumtazama tuu mtu usoni anapoongea, unaoona dhamira yake ya dhati, machoni na moyoni, tatizo ni katika kupanga tuu vipaumbele vyetu.

Mkuu Naz jaz, I would like to differ kwenye hili la dhamira, kwa sisi tuliojaaliwa kwa kumtazama tuu mtu usoni anapoongea, unaoona dhamira yake ya dhati, machoni na moyoni, rais Magufuli ana dhamira safi na ya dhati toka moyoni mwake, tatizo ni katika kupanga tuu vipaumbele vyetu.

Mfano alipoamua tujenge Tanzania ya viwanda, then kwa nchi inayotegemea kilimo kwa 80%, then Tanzania ya kweli ya viwanda, ni Tanzania ya agro processing industries, hivyo kipaumbele number 1 ni kuwekeza kwenye kilimo, kuzalisha malighafi ya viwanda na sio kununua ndege, kujenga SGR na flyovers.

P
With all due respect Bw. Pascal I highly object hilo swala la dhamira safi na muonekano wa usoni. Mwenye nia safi siku zote anafanya mambo kwa transparency na sio intimidations, threats and eventually upindwaji wa kanuni na sheria kwa jina la uzalendo. Katika mambo ya uongozi huwa hatuangalii end results, tunaanza kuangalia chimbuko la safari mpaka kufika ulipofika.
Huwezi kujinadi kuwa mzalendo na mtetezi wa wanyonge lakini kila jambo unalofanya lina kila dalili za uonevu na ukandamizaji wa hao wanyonge.
It is high time our Dearest President atambue kuwa hii nchi si mali yake binafsi na si kila jambo ni ushindani ama nafasi ya kuonyesha kuwa yeye ndie raisi. We know he is the President so it is time afanye uraisi na si kuonyesha mamlaka yake ya uraisi maana in the long run waathirika ni walio chini kabisa.
 
Kwanini fedha ya kigeni imeadimika?
Anafanya nini Ku boost exportations ambapo ndio chanzo kikuu cha foreign currencies?
Kwanini hataki kujenga smelter tuyeyushe chuma cha Mchuchuma na Liganga tuuze nje tuongeze mapato?
Viwanda anavyovitaka Magufuli vya vyerehani vinne havina tiba kwa kutuongezea mapato ya kigeni kwani materials zote zinazotumika ni imported. Na kwa sasa viwanda vyetu vya Nguo vinatengeneza sanda tu za kuzikia, kaniki, kanga na vitenge vya low quality ambavyo haviuziki na havikubaliki kwenye soko la nje
mchuchuma na liganga ni wapi huko mzee?
 
Mh Pombe ana nia ya dhati isipokuwa anashindwa na hajui namna ya kuishughurikia plans zake hapo tu ndipo anapo fail.
Mfano kujenga flyover, sgr na mengine ni wazo zuri lakini ana fail mipangilio sahihi hali inayosababisha mambo mengine kukwama ama kusababisha hasara.
Mfano mwingine ni huu wa makinikia, ni wazo zuri lakini hana namna ya kukatisha mkataba ogopa sana kitu inaitwa mkataba, yeye kama ana nia ya dhati angepambana na watangulizi wake walio idhinisha haya ma rubbish kitendo cha yeye kutaka kuvunja makubaliano tulijua mapema analipeleka taifa shimoni.
Ombi langu kwake awe anatafuta ushauri kwa kina kabla hajatoa maamuzi akili za kuambiwa changanya na zako ili uone kama zinatija.
 
Mkuu Naz jaz, I would like to differ kwenye hili la dhamira, kwa sisi tuliojaaliwa kwa kumtazama tuu mtu usoni anapoongea, unaoona dhamira yake ya dhati, machoni na moyoni, rais Magufuli ana dhamira safi na ya dhati toka moyoni mwake kuibadili Tanzania kuwa nchi ya ahadi, na wala sio kumfunika Nyerere, bali Magufuli ni kama Nyerere.
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni Kazi Tuu, Ila Pia sio Kama Nyerere! - JamiiForums

Tatizo ni katika kupanga tuu vipaumbele vyetu.

Mfano alipoamua tujenge Tanzania ya viwanda, then kwa nchi inayotegemea kilimo kwa 80%, then Tanzania ya kweli ya viwanda, ni Tanzania ya agro processing industries, hivyo kipaumbele number 1 ni kuwekeza kwenye kilimo, kuzalisha malighafi ya viwanda na sio kununua ndege, kujenga SGR na flyovers.

P
Acha kutudanganya na kumfananisha ovyo Baba wa taifa na vitu vingine
 
Anko dhamira safi inaonekana kwenye utendaji safi na sio maneno,huwezi kusema mtu anadhamira nzuri ilhali kila uchwayo anaharibu tu. Ukisema kwamba anania njema ila aproach ndo mbovu kwanini asibadilike sasa?,kwanini hashauriki?,kwanini anaendesha nchi kama familia yake binafsi?.Mimi nikijana mdogo kabisa hata miaka 30 sijafikisha na elimu yangu ni ya kawaida tu ya hapa na pale lakini kwa utashi wangu huu mdogo naona kabisa bwana mzee anavyofanya blunder na kukurupuka kwenye mambo mengi.sasa inakuwaje yeye msomi na kiongozi wa muda mrefu anashindwa kuyaona mapungufu yake na kukubali kubadilika.kwenye dini tujafundishwa kuwa binaadamu wote ni wakosaji lakini walio bora ni wale wanaokubali kukosolewa,kujifunza kutokana na makosa na kujirekebisha.
 
Ni Mtazamo tu kuna wanaoona hata Mwinyi alimfunika Nyerere,
Kuna wanaoona Mkapa alimfunika Nyerere
Kuna wanaosema Kikwete amenfunika Nyerere
Pia kuna watakaosema Magufuli amemfunika Nyerere,

Tatizo linaanza kwenye unafiki unaokuwa umewajaa wanaomzunguka rais kwa Muda husika,

Hakuna wa Kufanana na Nyerere hata Robo
 
Simple minds discuss people
If it is small-minded to judge people, is that not precisely the effect of this quote? Let’s take this a little higher please, are you ready?
Petrarch was not small-minded, as the noble letter in which he offers to buy his friend's library proves. He nourished a measure of small-minded anxiety lest he be indebted to somebody for something. He refused and felt so small-minded at using his authority against a child that it was a relief to vent his ill-humour on a man, are you still there m2020 ?
 
Mkuu Naz jaz, I would like to differ kwenye hili la dhamira, kwa sisi tuliojaaliwa kwa kumtazama tuu mtu usoni anapoongea, unaoona dhamira yake ya dhati, machoni na moyoni, rais Magufuli ana dhamira safi na ya dhati toka moyoni mwake kuibadili Tanzania kuwa nchi ya ahadi, na wala sio kumfunika Nyerere, bali Magufuli ni kama Nyerere.
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni Kazi Tuu, Ila Pia sio Kama Nyerere! - JamiiForums

Tatizo ni katika kupanga tuu vipaumbele vyetu.

Mfano alipoamua tujenge Tanzania ya viwanda, then kwa nchi inayotegemea kilimo kwa 80%, then Tanzania ya kweli ya viwanda, ni Tanzania ya agro processing industries, hivyo kipaumbele number 1 ni kuwekeza kwenye kilimo, kuzalisha malighafi ya viwanda na sio kununua ndege, kujenga SGR na flyovers.

P
Sasa mtu mwenye dhamira yakweli anashindwa vipi kuweka vipaumbeke vya kweli? Resources zinazomwezsha kupanga vipaumbele sawasawa anazo sasa anashindwa nini?

Ni mnafiki tu, he shakes hands and smile behind a wrinkled face.
 
With all due respect Bw. Pascal I highly object hilo swala la dhamira safi na muonekano wa usoni. Mwenye nia safi siku zote anafanya mambo kwa transparency na sio intimidations, threats and eventually upindwaji wa kanuni na sheria kwa jina la uzalendo. Katika mambo ya uongozi huwa hatuangalii end results, tunaanza kuangalia chimbuko la safari mpaka kufika ulipofika.
Huwezi kujinadi kuwa mzalendo na mtetezi wa wanyonge lakini kila jambo unalofanya lina kila dalili za uonevu na ukandamizaji wa hao wanyonge.
It is high time our Dearest President atambue kuwa hii nchi si mali yake binafsi na si kila jambo ni ushindani ama nafasi ya kuonyesha kuwa yeye ndie raisi. We know he is the President so it is time afanye uraisi na si kuonyesha mamlaka yake ya uraisi maana in the long run waathirika ni walio chini kabisa.
Bado haamini kama yeye ni rais pona yake tu amshukuru Lubuva
 
Mkuu Naz jaz, I would like to differ kwenye hili la dhamira, kwa sisi tuliojaaliwa kwa kumtazama tuu mtu usoni anapoongea, unaoona dhamira yake ya dhati, machoni na moyoni, rais Magufuli ana dhamira safi na ya dhati toka moyoni mwake kuibadili Tanzania kuwa nchi ya ahadi, na wala sio kumfunika Nyerere, bali Magufuli ni kama Nyerere.
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni Kazi Tuu, Ila Pia sio Kama Nyerere! - JamiiForums

Tatizo ni katika kupanga tuu vipaumbele vyetu.

Mfano alipoamua tujenge Tanzania ya viwanda, then kwa nchi inayotegemea kilimo kwa 80%, then Tanzania ya kweli ya viwanda, ni Tanzania ya agro processing industries, hivyo kipaumbele number 1 ni kuwekeza kwenye kilimo, kuzalisha malighafi ya viwanda na sio kununua ndege, kujenga SGR na flyovers.

P
Utanijuaje kama nimeokoka, tazama matendo yangu kama n mema na wala sio macho,maneno matamu au mavazi nafhifu. Matendo mabaya ya magu kw nchi wa2 wa nchi hii yanaongea kwa sauti kubwa. Unamwangali Magu usoni na mdomon unasema anadhamira njema. wakat matendo yake tofauti kabisa na amemayo. Kwanza sura yake tu inasadifu matendo na dhamira yake mbaya haijawahi tokea tangu kuanzishwa kwa wa hii nchi..
 
Kwanini fedha ya kigeni imeadimika?
Anafanya nini Ku boost exportations ambapo ndio chanzo kikuu cha foreign currencies?
Kwanini hataki kujenga smelter tuyeyushe chuma cha Mchuchuma na Liganga tuuze nje tuongeze mapato?
Viwanda anavyovitaka Magufuli vya vyerehani vinne havina tiba kwa kutuongezea mapato ya kigeni kwani materials zote zinazotumika ni imported. Na kwa sasa viwanda vyetu vya Nguo vinatengeneza sanda tu za kuzikia, kaniki, kanga na vitenge vya low quality ambavyo haviuziki na havikubaliki kwenye soko la nje
mkuu mimi siongezi neno , najiondokea zangu
 
Back
Top Bottom