Eti ni kweli maprofessor hawajui mapenzi?

semmy samson

Member
Dec 20, 2010
85
0
OYAAAA WAUNGWANA SHWARIII.

EBWANAE HII MI NIMESIKIA TU ILA SINA UHAKIKA ''ETI NI KWELI KWAMBA WASOMI WENGI HASA WALIOKWENDA MPAKA NGAZI YA UPROFESSOR NI WABOVU KWENYE MAMBO FLANI ?" NDIO MAANA HATA WAKE ZAO WANAPENDA KUTOKA NJE, NYIE MNASEMAJE WAUNGWANA??
ETI UKIPIGA BUKU KWA SANA AKILI INACHOKA NA KAMA AKILI IKICHOKA NA MWILI UNAKUWA DHAIFU HASA KATIKA MAMBO YA MAPENZI JAMANI HII NI KWELI? MSAADA....

tHE mAn FrOm No WhErE.............
 
Naona mkuu unapenda sana kuandika neno the "man from nowhere" kila unapomaliza post zako,nikusaidie tu unaweza kuiweka kama signature yako kwa kwenda kwenye private messages hapo juu,kisha tafuta sehemu imeandikwa edit signature ,ukiingia hapo unaweza kuandika neno hilo na litatokea katika kila post unayotuma bila kulirudia kila unapotuma post.
 
mmh jaman una roho nzuri!!!!!!!
asante kwa niaba.
 
Yawezekana maana mambo hayo yanaendana na nguvu za mwili,ndio maaana utakuta shamba boy ni wazuri sana kwa kuwa kazi zao zinawafanya miili yao iwe fit.
sababu nyingine huenda ikawa ni kukosa mazoezi kwa maana muda mwingi yuko kwenye buku huwezi mlinganisaha na mtu wa kazi za nguvu.Kusoma kunadhoofisha mwili,ndio maana wengi wana miili midogo midogo.
 
we bwana weeeee ushaambia 6 kwa 6 haina prof wala tutorial assistattttt ni wewe tu wajua nini na haujui nini
ule mchezo hauna status kwa maskin na tajir kipanga na kilaza ...kila mtu anajua kivyake na kwa mtu wake....inawezekana ukawa unajua kwangu na ukenda kwa mwajuma akakuona cha mdori..
maprof wengi ni vilaza kwenye kitanda lakin haimaanish ukiwa prof basi wewe ni buzozo panapo bed..watu weng ata wasio maproff ni wazembe /hawajui/hawadumu panapo mahusiano na bed kwa ujumla ..WEWE UMESAIT MAPROF KWA SABABU WAPO WACHACHE..lakin kiujumla i pbm ni ya wote!
 
Yawezekana maana mambo hayo yanaendana na nguvu za mwili,ndio maaana utakuta shamba boy ni wazuri sana kwa kuwa kazi zao zinawafanya miili yao iwe fit.
sababu nyingine huenda ikawa ni kukosa mazoezi kwa maana muda mwingi yuko kwenye buku huwezi mlinganisaha na mtu wa kazi za nguvu.Kusoma kunadhoofisha mwili,ndio maana wengi wana miili midogo midogo.

labda maprof wa bongo, nenda kacheki maprof. wa naijeria uone, wana vitambi vya kufa mtu most of them..hii si sababu..
 
Naona mkuu unapenda sana kuandika neno the "man from nowhere" kila unapomaliza post zako,nikusaidie tu unaweza kuiweka kama signature yako kwa kwenda kwenye private messages hapo juu,kisha tafuta sehemu imeandikwa edit signature ,ukiingia hapo unaweza kuandika neno hilo na litatokea katika kila post unayotuma bila kulirudia kila unapotuma post.

Ebwana thanks sana the black cat si unajua tena mi bado kinda kwenye JF thanks mkuu
 
Hivi uprofessor unasomewa au? Halafu hili kwa watz wengi tunaona Uprof ni kazi kubwa kuupata....Hata maprof wenyewe wanajiona sana hivyo ukileta ubrothermen kitandani pia kuna ubrothermen, huko kazi mwendo mdundo tuuu....Pia kuna maprofesor wa mapenzi jamani acheni......
 
Of coz Uprofessor nnaosemea mimi sio ule wa akina maji marefu ni ule wa darasani yaani inasemekana ndio watu waliochimbua buku kuliko wengine maana hamna cheo kingine kikubwa cha kielimu zaid ya uprof. umenisoma mkuu
 
Naona mkuu unapenda sana kuandika neno the "man from nowhere" kila unapomaliza post zako,nikusaidie tu unaweza kuiweka kama signature yako kwa kwenda kwenye private messages hapo juu,kisha tafuta sehemu imeandikwa edit signature ,ukiingia hapo unaweza kuandika neno hilo na litatokea katika kila post unayotuma bila kulirudia kila unapotuma post.

Asante black cats, imekua useful kwangu pia
 
we bwana weeeee ushaambia 6 kwa 6 haina prof wala tutorial assistattttt ni wewe tu wajua nini na haujui nini
ule mchezo hauna status kwa maskin na tajir kipanga na kilaza ...kila mtu anajua kivyake na kwa mtu wake....inawezekana ukawa unajua kwangu na ukenda kwa mwajuma akakuona cha mdori..
maprof wengi ni vilaza kwenye kitanda lakin haimaanish ukiwa prof basi wewe ni buzozo panapo bed..watu weng ata wasio maproff ni wazembe /hawajui/hawadumu panapo mahusiano na bed kwa ujumla ..WEWE UMESAIT MAPROF KWA SABABU WAPO WACHACHE..lakin kiujumla i pbm ni ya wote![/QUOTE]

ukweli sio ma prof tu ni kwa watu wote walio busy (they make a lot of money)
 
OYAAAA WAUNGWANA SHWARIII.

EBWANAE HII MI NIMESIKIA TU ILA SINA UHAKIKA ''ETI NI KWELI KWAMBA WASOMI WENGI HASA WALIOKWENDA MPAKA NGAZI YA UPROFESSOR NI WABOVU KWENYE MAMBO FLANI ?" NDIO MAANA HATA WAKE ZAO WANAPENDA KUTOKA NJE, NYIE MNASEMAJE WAUNGWANA??
ETI UKIPIGA BUKU KWA SANA AKILI INACHOKA NA KAMA AKILI IKICHOKA NA MWILI UNAKUWA DHAIFU HASA KATIKA MAMBO YA MAPENZI JAMANI HII NI KWELI? MSAADA....

tHE mAn FrOm No WhErE.............

Usiandikie mate na huku wino upo wakusubiri......yavulie maji nguo .....halafu ukiisha yaoga rudi jamvini utupashe yaliyokusibu.............
 
Wengi wa Maprofessor huwa na mipangilio maalumu ya maisha yao ya kila siku.
Mambo yao mengi huwa kwa appointments. Ikibidi afanye mapenzi bila appointment, inawezekana akaonekana hajui mapenzi.
 
haha jamani hayo mambo ni siri yao wahusika na yanaweza kumpata yoyote. naamini kuna waliokimbia umande wengi tu nao hayo mambo yameishadorora na kama mwenza wako ana tabia ya kutoboa fensi basi hata ukiwa "kanumba", bado utakiwa unashona fensi kila siku
 
Ni kwa maprofesa wa kiume tu au na wakike pia!? Lakini lililo wazi ni kuwa maprofesa wa kike huwa hawajipendi sana, yaani ile kujiremba remba kike wao huwa wanalipua tu.
 
Back
Top Bottom