luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,871
Eti nimesikia baadhinya wasomi wa 254 wana dai eti ile route ya US ni moja ya route ya hasara kwa sababu eti siku izi US wamekazia utoaji visa ss wanaokwenda ni wachache ... Ss naomba wadau wenye izi detqil . Nq nilisikia eti ata UG airline wanaichukulia iyo route kqma case study