Eti ni Kweli KQ ile route ya US ndio inawatia HASARA

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
2,267
2,000
Eti nimesikia baadhinya wasomi wa 254 wana dai eti ile route ya US ni moja ya route ya hasara kwa sababu eti siku izi US wamekazia utoaji visa ss wanaokwenda ni wachache ... Ss naomba wadau wenye izi detqil . Nq nilisikia eti ata UG airline wanaichukulia iyo route kqma case study
 
ndughuri msuya

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
1,162
2,000
Eti nimesikia baadhinya wasomi wa 254 wana dai eti ile route ya US ni moja ya route ya hasara kwa sababu eti siku izi US wamekazia utoaji visa ss wanaokwenda ni wachache ... Ss naomba wadau wenye izi detqil . Nq nilisikia eti ata UG airline wanaichukulia iyo route kqma case study
Mbona hasara zilianza yangu tangu enzi za uhenga miaka ya 47 hii tunaita mbaazi kashidwa kutoa maua kasingizia JUA
 
EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
8,730
2,000
Bado Safari za new York zinaendelea japo sio daily flights kama ilivo kua,kua informed kijana
Ilishabuma
Screenshot_2019-05-09-19-00-32.jpeg
Screenshot_2019-05-09-19-00-14.jpeg
 
luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
2,267
2,000
Bac kama KQ wamepunguza izo direct flight ni jambo jema maana ni bora ufanye kitu cha faida kuloko hasaraLKN ss ajabu ni kwamba eti ata rwandair na wao wana fight wapate kibali cha kuruka direct to NYC ....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom