Eti nguo za ndani zinachangia ugumba?

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
6,376
6,720
TAFITI za kisayansi zimebaini kuwa nguo za ndani hasa zinazobana kwa wanaume na zile za aina ya nailoni (nylon) zinaathiri uwezo wa mbegu za kiume, hivyo kushindwa kutunga mimba.
Kwa habari zaidi GONGA hapa.
 
Hizi Pants hata maumbile yetu inayabadirisha, hazipo straight tena! mwingine imepindia kulia, mwingine kushoto, mwingine inatizama chini, mwingine juu hahahaha yote hiyo sababu ya parking ndani ya kufuli. Heri Masai anaacha inaning'inia kitu kinashuka ku daily akifikia 18 kitu kinakuwa kirefu ajabu hahahahahah
 
Boxer ndo mwisho wa mchezo..hata mzee huko ndani anakuwa relaxed!! Sasa sielewi wanamaanisha nguo gani za ndani...
 
stori tu jamani hakuna lolote. kuogopeshana tu. yaani wanataka tutembee bila chupi
 
Hizi Pants hata maumbile yetu inayabadirisha, hazipo straight tena! mwingine imepindia kulia, mwingine kushoto, mwingine inatizama chini, mwingine juu hahahaha yote hiyo sababu ya parking ndani ya kufuli. Heri Masai anaacha inaning'inia kitu kinashuka ku daily akifikia 18 kitu kinakuwa kirefu ajabu hahahahahah
Kushoto, kulia, juu na chini kunatokana na REST POSITION yaani mzinga unapokuwa umepaki na hautumiki unawekwa mkao gani na kupigwa kufuli. Utafiti umeonyesha kuwa wanaume wengi wanalaza mizinga yao ikiwa imeinamia chini na kupindia upande wa kulia au kushoto na siyo juu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom