Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 75
Mbona haitii kichefuchefu? Washikaji wamerushia na pilipili kidooogo!
mbona si wamachinga tunakula toka zamani na hamjawahi kutuweka kwenye jf ila umeuona huo mgahawa tuuzuri ni kwamba hii panya moja inacontain all type of vitamins....rather that eating 2kg of ng'ombe au mbuzi...ni kujaza tumbo with less nutrients!!!
mkuu kwenye red ndo yenyewe...kwetu Ihemi tunawalaga sana, watamu hao...Hawa wanaitwa simbilisi au samaki nchanga watamu sana
..Hao ni panya mazeee, Simbilisi hana mkia mrefu kama hii.......Hawa wanaitwa simbilisi au samaki nchanga watamu sana
Lazima itakuwa tamu... Ila hiyo mbona hata hapa Tzee kuna makabila mengi tu yanakula hiyo kitu?