Eti Mzungu kwenye BSS, Joseph Payne ni agent wa CIA?

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,592
1,599
Kuna tetesi zimeenea mtaani kuwa mshiriki wa Bongo Star Search ambaye amepanda chati kuliko kawaida kuwa ni kachero kutoka shirika la kijasusi la Marekani, CIA na yuko hapa nchini kwa kazi maalum. Inasemekana kuwa ndio maana ni mtu wa kujichanganya mno mpaka ameingia kwenye BSS na amewezakuzikonga nyoyo za watz weni. Tetesi hizi ni kweli?
 
Duh! Ina maana Marekani wana interest na music industry ya Bongo? Au jamaa kupitia music anataka kukonga nyoyo za wabongo ili walegee na kutoa siri zote kiulaini?
 
mambo mengine bana yanachekesha sana..sasa akiwa agent ndo nini?hata awe agent wa clearing and forwarding sawa tu
 
Kuna tetesi zimeenea mtaani kuwa mshiriki wa Bongo Star Search ambaye amepanda chati kuliko kawaida kuwa ni kachero kutoka shirika la kijasusi la Marekani, CIA na yuko hapa nchini kwa kazi maalum. Inasemekana kuwa ndio maana ni mtu wa kujichanganya mno mpaka ameingia kwenye BSS na amewezakuzikonga nyoyo za watz weni. Tetesi hizi ni kweli?

lolote linawezekana....mmarekani haaminiki
 
Kuna tetesi zimeenea mtaani kuwa mshiriki wa Bongo Star Search ambaye amepanda chati kuliko kawaida kuwa ni kachero kutoka shirika la kijasusi la Marekani, CIA na yuko hapa nchini kwa kazi maalum. Inasemekana kuwa ndio maana ni mtu wa kujichanganya mno mpaka ameingia kwenye BSS na amewezakuzikonga nyoyo za watz weni. Tetesi hizi ni kweli?

Unadhani CIA wako ovyo kiasi cha kumfanya agent wao ajulikane (cover blown) kirahisi hivyo?
 
hivi huyo mzungu anaimba kwa lugha gani, kisw au eng na je maana ya bongo star search haipotoshwi kwa kuhusisha mzungu.
 
Mi nafikiri haya ni majungu ya washindani wenzake na watu wenye roho za kibaguzi wanaoanzisha mada kama hizi ili zichuliwe na kuandikwa kwenye udaku ili kuwachanganya mashabiki wanaompenda. Nafikiri TISS watakuwa na ukweli zaidi kwenye hili kuliko radio mbao na kama ingekuwa kweli basi hata kwenye BSS asingeshiriki. Tuache majungu na ubaguzi
 
Kuna tetesi zimeenea mtaani kuwa mshiriki wa Bongo Star Search ambaye amepanda chati kuliko kawaida kuwa ni kachero kutoka shirika la kijasusi la Marekani, CIA na yuko hapa nchini kwa kazi maalum. Inasemekana kuwa ndio maana ni mtu wa kujichanganya mno mpaka ameingia kwenye BSS na amewezakuzikonga nyoyo za watz weni. Tetesi hizi ni kweli?

CIA hawana haja ya kutumia gharama kuleta ma agent bongo . taarifa zote wakitaka taarifa ma agent wao ni viongozi wetu. Balozi akianadika barua anakimbiziwa taarifa haraka. Maagent wanapelekwa nchi amabzo ziko above green light

Huyo dogo kaamua kujichia na kwa BSS hawawezi kumtoa haraka. Anafanya show iongeze idadi ya watazamaji
 
Watanzania ndugu zangu wakati umefika tuachane na hizi habari za kusikia na kuanzq kuzisambaza...nani anaweza thibitisha hilo la CIA?
 
Hizi ni mbinu chafu za wasiompenda.pyne ni star.hapa tunataka kuleta ubaguzi wa kijinga kabisa.tupe source ya tetesi hizi.tuambie huyu mzungu kaletwa lini,tupe profile yake, otherwise acha habari za magazeti ya udaku.
 
Kama n kweli inaweza kuwa ni mbinu ili mumkubali alafu aanze kazi yake bila mizengwe
 
Kuna tetesi zimeenea mtaani kuwa mshiriki wa Bongo Star Search ambaye amepanda chati kuliko kawaida kuwa ni kachero kutoka shirika la kijasusi la Marekani, CIA na yuko hapa nchini kwa kazi maalum. Inasemekana kuwa ndio maana ni mtu wa kujichanganya mno mpaka ameingia kwenye BSS na amewezakuzikonga nyoyo za watz weni. Tetesi hizi ni kweli?

Marekani iifanyie ukachero TZ mbona ni kituko kwanza kwa lipi? wao wakiamua wanajichukulia tu bila matatizo
 
Kampeni tu hizo. Wanaomvumishia hivyo kama wana mtu wao wanataka ashinde watumie mbinu nyingine ili naye apigiwe kura.....
 
atakapokubalika hpa tz, anaweza kutumia kukubalika huko hata kwenye nchi ambazo ni tata...kwa mfano, anaweza akaenda kutumbuiza somalia au hata sudan akiwa na wasanii wa bongo na yeye akiwa kama msanii wa bongo, hivyo nakuwa rahisi kupenya kuliko kwenda huko bila hiyo status...
By the way, his perfrmance in BSS is unmeasurable...he is great!!! vote for him, ondoa mawazo ya kuwa ni mzunu angalia sanaa anayowakilisha!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom