Eti, Mzungu ana akili kuliko Mwafrica?

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Nimekuta watu wapo kwenye ushindani mkali sana, ushindani wenyewe ni hivi. Je, Wazungu na Waafrica wana akili sawa?

Watu wanatoana povu balaa. Ebu jibuni swali hili. Maana huu ni uwanja mpana. Maana hata kama ni mazingira, wapo Waafrica wamezaliwa na kukulia Ulaya.

Karibuni!
 
Kwa kuangalia kwa ujumla.

Mambo waliyofanya wenzetu tangu zamani hadi sasa hivi, yanadhihirisha wazi kuwa wametuzidi uwezo wa kufikiri.

Mfano hai, wao ndio wana-take control of almost everything in the world, politically, economically, science and technology na kadhalika, na cha kuchekesha ila ni kweli, hata culturally pia tumeshapotezwa.
 
Waafrika wana akili kuliko wazungu
kuna baadhi ukifanya nao kazi ndio utajua wengi wanaungaunga tu.
ila ukiwaona kwa mbali kwa sababu wameshakuaminisha wana akili basi lazima ulainike kabla hata hajakudanganya.
 
Wote tuna akili vizuuuri kabisa, tatizo ni matumiz ya hizo akili zetu.

Matumia ya kiafrica mengi ni pumba japo si yote, ila kwa kiasi kikubwa matumize ya wazungu ni productive

Kwanini sisi atuwi productive?
 
Angalia mifano ya vitu vidogo tu tena rahisi sana ndo utaeza gundua nani ana akili na upeo mpana...
1. Uchaguzi wa USA linganisha na wa Burundi na Gambia.

2. Rasilimali zilizopo Tanzania half bado ni nchi tegemezi kwa zaidi ya 70%.

3. Wapi katika soma soma yako ushawahi Ona mwafrika alieandikiwa ktk vitabu vya historia kua kagundua kitu? Like Hoffman's, Newton n.k

Mimi nadhani waafrika tuna udumavu wa akili.
 
Nimekuta watu wapo kwenye ushindani mkali sana,Ushindani wenyewe ni hivi.Je,Mzungu na mwafrica wana akili sawa?
Watu wanatoana povu balaa.Ebu jibuni swali hili.Maana huu ni uwanja mpana.
Maana hata kama ni mazingira,Wapo waafrica wamezaliwa na kukulia ulaya.
Karibuni!
Ndiyo mzungu ana akili sana na amebarikiwa sana kuliko hao wengine uliowasema
 
Tunajitawala, tumevumbua namba, herufi, agriculture N.K, nano technology imegunduliwa recently na chalii wa chuga, inafilter maji hata yale yaliyodekiwa can be filtered for consumption uses, no need to boil, tumeachiwa Tz tunaiboresha. Man! Know thyself and thy history, acha kujidharau kwa information from main stream medias.
 
Wazungu wana AKILI sana kuliko Waafrika.

Si akili tu ila wana UPENDO miongoni mwao, wana UBUNIFU na JUHUDI.

Sisi Waafrika ni Watumwa kwa wazungu tokea enzi na enzi.

Sasa ni watumwa mpaka wa fikra.
 
Mbona mmeachiwa south africa mnaiaribu?
Mbona nchi za Africa zenye ngozi nyeupe zimepiga hatua za ya weusi?
Mbona hatuvumbui?
Mbona tunashindwa kujitawala?
N.K nitarudi!
kwa hiyo unaulizia akili au ngozi mkuu?
Waafrika wengi sana wamevumbua mengi hadi karne ya 21 wanaendelea inategemea unapataa taafika kutokea angle gani.
Kushindwa kujitawala hata serbia walishindwa hata US kunakipindi walishindwa ni kipindi tu cha maisha.
Mbona wakina mkwawa walikuwa wanajitawala vizuri tu. Mbona tunajitawala na kama changamoto za udhaifu hizo zipo sio afrika tu duniani kote

Afrika Tuna akili nyingi kuliko wazungu, Asilimia kubwa ya waafrika wanafresh Unused intelligent brain.
 
Wazungu hamnazo bhana
Hanazo vp mkuu, wakati hata huumjadala tunao endeleanao hapa ni kwa hisaniyao.

Ukiweza kujua tu kwamba mwenzako kuna jambo anaweza kukuzidi pia inahitaji kuwa na akili.

Najua kama unafahamu kwamba wametuzidi na ndiomana umejibu kinyonge hahaa ›››› am jockey.
 
Wote tuna akili vizuuuri kabisa, tatizo ni matumiz ya hizo akili zetu.

Matumia ya kiafrica mengi ni pumba japo si yote, ila kwa kiasi kikubwa matumize ya wazungu ni productive

Sio kuwa namna ya kutumia akili ni moja ya vielelezo vya kuwa na akili au kutokuwa na akili.
 
Back
Top Bottom